Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugaidi

  • 'Madai ya Saudia dhidi ya Iran ni kichekesho'

    'Madai ya Saudia dhidi ya Iran ni kichekesho'

    May 13, 2016 23:11

    Ofisi ya Uwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imepinga tuhuma za mwakilishi wa Saudi Arabia katika umoja huo dhidi ya Iran na kuzitaja kuwa kichekesho.

  • Iran yakosoa wanaotumia ugaidi kufikia malengo yao

    Iran yakosoa wanaotumia ugaidi kufikia malengo yao

    May 09, 2016 10:49

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa sera za baadhi ya nchi kutumia ugaidi kama chombo cha kufikia malengo yao katika eneo na kusema jambo hilo litakuwa na natija kinyume na inavotarajiwa.

  • Waalgeria watatu watiwa mbaroni kwa tuhuma za ugaidi

    Waalgeria watatu watiwa mbaroni kwa tuhuma za ugaidi

    May 07, 2016 11:38

    Jeshi la Algeria limewatia mbaroni raia watatu wa nchi hiyo kwa tuhuma za kuyasaidia makundi ya kigaidi nchini humo.

  • Velayati: Wamagharibi wanapanga kuzigawa vipande vipande Iraq, Syria

    Velayati: Wamagharibi wanapanga kuzigawa vipande vipande Iraq, Syria

    May 01, 2016 23:22

    Afisa mwandamizi wa Iran amelaani vikali njama za nchi za Magharibi na waitifaki wao kieneo za kutaka kuzigawa vipande vipande Iraq na Syria.

  • Watu 9 wauawa katika hujuma yamsikitini Iraq

    Watu 9 wauawa katika hujuma yamsikitini Iraq

    Apr 22, 2016 12:56

    Watu wasiopungua tisa wameuawa na wengine zaidi ya 25 kujeruhiwa baada ya bomu kulipuka ndani ya msikiti mmoja katika eneo la Radwaniyah kusini magharibi mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.

  • Larijani: Marekani inatumia ugaidi kama wenzo wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine

    Larijani: Marekani inatumia ugaidi kama wenzo wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine

    Apr 19, 2016 22:20

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, mfumo wa kambi moja wa Marekani umefeli katika kuendesha masuala ya dunia na kwamba sasa ugaidi unatumiwa na Washington kama wenzo wa kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine duniani.

  • Saudia yahusishwa na hujuma za 9/11, Obama aitetea

    Saudia yahusishwa na hujuma za 9/11, Obama aitetea

    Apr 19, 2016 22:19

    Saudi Arabia imehusishwa na hujuma za kigaidi za Septemba 2001 nchini Marekani lakini pamoja na hayo Rais Barack Obama wa nchi hiyo amelaani mswada wa sharia unaotaka watawala wa Saudia wawajibishwe.

  • Utafiti: Wairaqi wengi wanaamini kuwa US inaunga mkono ugaidi, Daesh

    Utafiti: Wairaqi wengi wanaamini kuwa US inaunga mkono ugaidi, Daesh

    Apr 08, 2016 03:52

    Utafiti mpya wa maoni umeonyesha kuwa thuluthi moja ya wananchi wa Iraq wanaamini kuwa Marekani ndiyo muungaji mkono mkubwa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.

  • Urusi yaitaka Uturuki kuacha kuwasaidia magaidi

    Urusi yaitaka Uturuki kuacha kuwasaidia magaidi

    Apr 04, 2016 23:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameitaka Uturuki kuacha kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na kuunga mkono ugaidi.

  • Israeli imetoa matibabu kwa magaidi 2,100 kutoka Syria

    Israeli imetoa matibabu kwa magaidi 2,100 kutoka Syria

    Apr 01, 2016 03:22

    Utawala wa Kizayuni wa Israel hadi sasa umetoa matibabu kwa magaidi zaidi ya 2,100 wanaopigana ndani ya Syria kuiangusha serikali halali ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS