-
Waturuki 2 wauawa, Mkenya ajeruhiwa katika shambulizi la kigaidi Mogadishu
Mar 30, 2016 22:37Watu sita wakiwemo Waturuki wawili wameuawa katika shambulizi lililolenga basi dogo lililokuwa limebeba wafanyakazi wa hospitali moja inayosimamiwa na Uturuki katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Mufti wa Syria: Tuliitahadharisha Ulaya kuhusu hatari ya ugaidi
Mar 28, 2016 08:31Mufti Mkuu wa Syria Sheikh Ahmad Badruddin Hassoun amesema nchi hiyo ilikwisha zitahadharisha hapo kabla nchi za Ulaya kuhusu hatari ya kupenya na kuenea ugaidi katika nchi hizo.
-
Ugaidi hauna mustakabali Mashariki ya Kati
Mar 28, 2016 02:39Afisa mwandamizi wa Iran amepongeza ushindi wa hivi karibuni wa jeshi la Syria dhidi ya magaidi wa ISIS (Daesh) katika mji wa Kihistoria wa Palmyra na kusema makundi ya kigaidi hayana mustakabali Mashariki ya Kati.
-
IAEA: Kuna uwezekano magaidi watatumia silaha za nyuklia
Mar 26, 2016 03:47Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umetadharisha juu ya uwezekano wa makundi ya kigaidi kutumia silaha hatari za nyuklia katika harakati zao.
-
Assad ataka Waislamu waungane dhidi ya ugaidi
Mar 21, 2016 11:43Rais Bashar al Assad wa Syria amewataka Waislamu wote duniani kuwa kitu kimoja na kuendesha mapambano dhidi ya ugaidi unaotishia eneo na ulimwengu mzima kwa ujumla. Rais Assad ameyatamka hayo katika mkutano wa wanachama wa sekretariati kuu ya Kiarabu na Jukwaa la Kiislamu kwa ajili ya kuunga mkono muqawama uliofanyika mjini Damascus Syria.
-
Nchi za Kiislamu zatakiwa kukabiliana na ugaidi wa kimitandao
Mar 06, 2016 11:59Washiriki wa kongamano la kimataifa lililopewa jina la 'Nafasi ya Vyombo vya Habari katika Kupambana na Ugaidi' lililofanyika nchini Misri, wamesisitiza juu ya udharura wa kuwepo ushirikiano wa asasi za nchi za Kiislamu kwa lengo la kukabiliana na ugaidi wa kimtandao.
-
Makumi wauawa katika miripuko ya mabomu Syria
Feb 21, 2016 12:43Kwa akali watu 30 wamethibitishwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika wimbi la miripuko ya mabomu lililotikisa viunga vya mji mkuu Damascus na Homs nchini Syria.
-
Jela ya wenye misimamo mikali kujengwa Kenya
Feb 17, 2016 11:41Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema njia pekee ya kupunguza kuenea athari mbaya za ugaidi na madudu yake ni kupitia kuundwa jela ya aina yake itakayotumiwa kuwafungia watu wenye misimamo mikali.
-
Usalama kwa mtazamo wa Zarif katika Mkutano wa Munich
Feb 13, 2016 22:28Malumbano ya kimadhehebu na misimamo mikali ni tishio kuu kwa eneo na ulimwengu mzima.