-
Wabunge wa upinzani Uganda warejesha 'hongo' ya kurefusha uongozi wa Museveni
Oct 26, 2017 04:37Wabunge wanane wa upinzani wamerejesha kwenye hazina ya serikali fedha walizopokea kwa ajili ya kufanikisha muswada wa kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais.
-
Zarif aonana na Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda mjini Kampala + Picha
Oct 25, 2017 12:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonana na Rais Yowezi Kaguta Museveni wa uganda mjini Kampala na pande hizo mbili zimejadiliana masuala ya pande mbili na ya kieneo na kimataifa.
-
Dakta Zarif: Wairani wanaoishi nje ya nchi ni rasilimali muhimu kwa ajili ya Iran
Oct 25, 2017 01:07Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wairani walioko nje ya nchi ni rasilimali muhimu kwa ajili ya taifa hili.
-
Wabunge Uganda wapewa 'hongo' ya mamilioni ya pesa kurefusha uongozi wa Museveni
Oct 24, 2017 10:11Msemaji wa Bunge la Uganda amesema kila Mbunge wa nchi hiyo amepewa shilingi milioni 29 za nchi hiyo, sawa na dola elfu 8 za Marekani, kufanikisha muswada wa kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais.
-
Uganda yakumbwa tena na homa ya Marburg
Oct 20, 2017 13:18Uganda imethibitisha kufariki dunia mtu mmoja kwa homa inayoenezwa na kirusi cha Marburg, homa ambayo huambatana na kuvuja damu sawa kabisa na homa ya Ebola. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya wa nchi hiyo.
-
Ghasia zashtadi Uganda, Besigye na Wabunge wa upinzani wakamatwa
Oct 20, 2017 04:00Mtu mmoja ameuawa huku wengine sita wakiachwa na majeraha ya risasi na kulazwa hospitalini katika wilaya ya Rukungiri, kufuatia ghasia zilizotokana na maandamano ya kupinga mpango wa kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais nchini Uganda.
-
Uganda yapiga marufuku maandamano ya kupinga kuondolewa kipengee cha umri katika kugombea urais
Oct 18, 2017 11:50Jeshi la polisi nchini Uganda leo (Jumatano) limepiga marufuku kile lilichokiita ni maandamano haramu ya kupinga mpango wa kuondoa kipengee ya umri katika kugombea urais. Juhudi za kuondoa kipengee hicho zina nia ya kumfungulia njia Rais Yoweri Museveni kuendelea kubakia madarakani bila ya kufungwa na kipengee hicho.
-
Kugeuka bunge la Uganda uwanja wa kurushiana makonde
Sep 28, 2017 23:04Mpango wa kuondolewa ukomo wa umri wa rais kwa ajili ya kumuwezesha Rais Yoweri Museven wa Uganda kugombea tena katika uchaguzi wa rais ujao, umepelekea bunge la nchi hiyo kukumbwa na hali ya mchafukoge.
-
Wabunge wa Uganda watwangana tena, matangazo mubashara yafutwa
Sep 27, 2017 10:51Kwa siku ya pili mfululizo, Wabunge wa Uganda wamerushiana makonde Bungeni wakati wa kujadiliwa muswada wa sheria inayotaka kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais nchini humo.
-
Wabunge watwangana makonde Uganda kabla ya kujadili mswada wa kurefusha utawala wa Museveni
Sep 26, 2017 12:35Vurumai za kupigana makonde na kurushiana viti baina ya wabunge zimezuka ndani ya bunge nchini Uganda leo kabla ya bunge hilo kujadili mswada ambao endapo utapitishwa utamwezesha Rais Yoweri Museveni kuwania tena urais kwa kipindi kingine.