-
Uhispania yapinga kushiriki vikosi maalumu vya wanamaji vya Ulaya katika Muungano wa Baharini wa Marekani
Dec 28, 2023 23:00Pedro Sanchez Waziri Mkuu wa Uhispania amepinga uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kuunga mkono Muungano wa Baharini wa Marekani katika Bahari Nyekundu. Sanchyez amesisitiza kuwa: 'Tunapinga kutumiwa vikosi vya baharini vya Ulaya dhidi ya maharamia kwa jina la oparesheni ya "Atalanta" kwa ajili ya kulinda meli za kibiashara katika Bahari Nyekundu mkabala wa mashambulizi ya Yemen.'
-
Kuvunjika muungano wa baharini wa Marekani kwa kujiondoa Ufaransa, Uhispania na Italia
Dec 25, 2023 02:22Marekani imetangaza kuunda Muungano wa Baharini ikiwa ni katika jitihada zake za kuendelea kuutetea kwa hali na mali utawala ghasibu wa Israel katika hujuma yake ya kinyama dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na kukabiliana na mashambulizi ya Yemen katika Bahari Nyekundu dhidi ya meli zinazoelekea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Israel huko Palestina.
-
Mwakilishi wa Uhispania katika Bunge la Ulaya: Israel imekufa
Dec 24, 2023 02:25Mwakilishi wa Uhispania katika Bunge la Ulaya amesema, "Israel" imekufa, na licha ya kuuawa shahidi maelfu ya watu huko Gaza, Wapalestina wanakaribia zaidi kupata ushindi.
-
Mashirika ya kiraia Uhispania yataka kusitishwa biashara ya silaha na Israel
Dec 21, 2023 07:53Wanaharakati kutoka mamia ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini Uhispania wamefanya maandamano na kukusanyika nje ya Bunge la nchi hiyo wakiitaka serikali yao isimamishe bishara ya silaha na utawala haramu wa Israel.
-
Mbunge wa EU kutoka Uhispania ataka Netanyahu apandishwe kizimbani katika Mahakama ya ICC
Dec 19, 2023 09:00Mwakilishi wa Uhispania katika Bunge la Ulaya ametaka Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel apandishwe kizimbani katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kutokana na jinai na mashambulio ya kinyama yaliyofanywa na utawala huo dhidi ya Wapalestina.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Israel haiheshimu sheria za kimataifa za ubinadamu
Dec 01, 2023 03:16Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kwamba, kwa kuzingatia idadi ya raia wakiwemo watoto wadogo ambao ni wahanga wa vita vya wiki kadhaa vya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza, ni wazi kuwa Tel Aviv haiheshimu sheria za kimataifa za ubinadamu.
-
Uhispania na Ubelgiji zatangaza kuwa tayari kuitambua rasmi nchi ya Palestina
Nov 25, 2023 08:17Hatua ya Uhispania na Ubelgiji ya kutangaza kuwa tayari kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina ni tukio muhimu kushuhudiwa barani Ulaya kuhusu kadhia ya Palestina. Hatua hii imeukasirisha sana utawala wa Kizayuni.
-
Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Watoto Katika Nchi za Magharibi
Nov 22, 2023 07:10Jamii za Wamagharibi, khususan zile zilizoendelea na zinazodai kutetea ubinadamu za Ulaya, zina sura nyingine isiyoonekana waziwazi kwa watu wengi.
-
Alkhamisi, tarehe 12 Oktoba, 2023
Oct 11, 2023 23:00Leo ni Alkhamisi tarehe 26 Rabiul Awwal 1445 Hijria inayosadifiia na tarehe 12 Oktoba mwaka 2023.
-
Ubalozi wa Iran Uhispania: Kuendelea kudhalilishwa Qur'ani Tukufu ni jinai ya kiutamaduni
Aug 02, 2023 07:39Ubalozi wa Iran nchini Uhispania umelaani kitendo cha Qur'ani Tukufu kuendelea kuvunjiwa heshima na kukitaja kuwa jinai ya kiutamaduni ambapo pia umekosoa misimamo dhaifu ya Umoja wa Ulaya kuhusiana na suala hilo.