-
Makubaliano ya pamoja ya Wayemen ya kukabiliana na muungano wa kijeshi wa Marekani
Jan 14, 2024 06:13Hatua ya Marekani na Uingereza ya kuishambulia kijeshi Yemen imekabiliwa na malalamiko makubwa ya wananchi na onyo kali la viongozi wa nchi hiyo.
-
Ufaransa 'yaogopa' kujiunga na US, UK katika hujuma dhidi ya Yemen
Jan 13, 2024 08:19Serikali ya Ufaransa imekataa kusaini taarifa ya kuunga mkono mashambulizi ya anga ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen, na kusisitiza kuwa haitashiriki katika hujuma hizo eti za kulinda safari za meli katika Bahari Nyekundu.
-
Ansarullah: Marekani na Uingereza zijiandae 'kulipa gharama kubwa' kwa kuishambulia Yemen
Jan 12, 2024 04:14Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen imezilaani vikali Marekani na Uingereza baada ya kufanya mashambulizi makali dhidi ya vituo vyake ndani ya Yemen, na kuonya kuwa vituo vya kijeshi vya nchi hizo vilivyoko katika eneo vitashambuliwa iwapo zitafanya uchokozi zaidi.
-
US, UK zashambulia vituo vya Ansarullah Yemen kwa sababu ya msimamo wake wa kuwahami Wapalestina
Jan 12, 2024 00:25Marekani na Uingereza zimeshambulia vituo kadhaa vya harakati ya Ansarullah kukabiliana na hatua ya harakati hiyo ya wananchi wa Yemen ya kuzishambulia meli zenye uhusiano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, kwa sababu ya vita vya mauaji ya kimbari na ya halaiki unavyoendesha utawala huo dhalimu dhidi ya Wapalestina wa Gaza.
-
Kan'ani: Marekani, Uingereza na Canada zinapaswa kubebeshwa dhima ya jinai zote za Israel
Dec 10, 2023 05:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, tawala za Marekani, Uingereza na Canada zinapaswa kubeba dhima ya jinai zote zinazofanywa na utawala wa Kizayuni kutokana na uungaji mkono mkubwa na wa wazi wa kijeshi, kisiasa, kijasusi na kipropaganda kwa utawala huo dhalimu hasa katika vita vya hivi sasa vya Ghaza.
-
Mahakama: Ni kinyume cha sheria kwa UK kuwapeleka Rwanda watafuta hifadhi
Nov 15, 2023 11:26Mahakama ya Juu ya Uingereza imesema mpango wa serikali ya London wa kuwapeleka nchini Rwanda wakimbizi na waomba hifadhi walioko nchini humo unakiuka sheria.
-
Mahakama Kuu Uingereza kutoa uamuzi kuhusu uhalali wa kupelekwa Rwanda waomba hifadhi
Nov 10, 2023 06:15Mahakama Kuu ya Uingereza wiki ijayo itatoa uamuzi iwapo mpango wa serikali ya nchi hiyo wa kuwapeleka nchini Rwanda, wakimbizi na waomba hifadhi walioko nchini humo ni halali au la.
-
Tehran yalaani kauli 'ya kuingilia kati' ya Uingereza kuhusu satalaiti ya Nour 3
Oct 05, 2023 04:33Iran imelaani vikali kauli ya "kiuingiliaji kati" ya serikali ya Uingereza kuhusu kurusha angani satalaiti mpya ya Nour 3 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ripoti: Vifaru vya kivita vya UK vina mada za sumu
Sep 22, 2023 22:49Gazeti la The Times limefichua kuwa, maelfu ya vifaru vya kivita vya Uingereza vina mada za sumu ambazo ni hatari kwa afya ya mwanadamu.
-
Njama za Marekani za kuongeza uwepo wake wa kijeshi nchini Yemen
Sep 18, 2023 08:49Tangu mazungumzo kati ya Yemen na Saudi Arabia kuhitimisha vita yalipochukua mkondo wa azma ya kweli, harakati za kijeshi za Marekani na Uingereza nazo zimeongezeka na kuimarika ili kuimarisha uwepo wao wa kijeshi katika nchi hiyo.