-
Iran: Mauaji ya kinyama ya Sabra na Shatila ni doa la aibu kwa waungaji mkono wa utawala wa Kizayuni
Sep 16, 2023 08:46Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mauaji ya Wapalestina wa Sabra na Shatila yaliyofanywa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameandika ujumbe usemao: Sabra na Shatila daima litabaki kuwa doa la aibu kwenye vipaji vya waungaji mkono wa utawala wa Israel na watetezi wa kizandiki wa haki za binadamu hususan Marekani na Uingereza.
-
"Kupanga mapinduzi, kuwaunga mkono madikteta ni katika sera za UK, US"
Aug 19, 2023 07:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kupanga na kufadhili mapinduzi, kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine na kuwaunga mkono madikteta ni katika sera kuu za Marekani na Uingereza katika kipindi chote cha historia.
-
Iran yakosoa tuhuma zisizo na maana za Uingereza dhidi ya IRGC
Aug 07, 2023 23:39Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali madai yasiyo na msingi ya Uingereza dhidi Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC).
-
Wasomi UK: Kushambulia Qur'ani ni uchupaji mipaka
Aug 06, 2023 03:37Wasomi mashuhuri nchini Uingereza wamelaani vitendo vya kuchoma moto Qur'ani Tukufu katika nchi za Scandinavia na kusisitiza kuwa, vitendo hivyo vya uchupaji mipaka vinapaswa kukomeshwa.
-
Tahadhari ya China kuhusu uingiliaji wa nchi za Magharibi katika masuala ya ndani ya nchi nyingine
Jul 07, 2023 23:07Rais wa China, Xi Jinping, ametoa wito kwa nchi mbalimbali kusimama dhidi ya "mapinduzi ya rangi ya nchi za Magharibi". Jinping ametoa wito huo katika mkutano Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai, uliofanyika kwa njia ya mtandao.
-
Afisa wa Yemen: Tulikomesha wizi wa mafuta uliofanywa na Marekani, Uingereza na Ufaransa
Jun 28, 2023 09:45Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Kitaifa ya Wokovu wa Yemen amejibu kauli iliyotolewa na mabalozi wa Ufaransa, Uingereza na Marekani akisisitiza kuwa, kinyume na madai yaliyotolewa katika taarifa yao, Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen haikuzuia mauzo ya mafuta nje ya nchi, lakini ilizuia wizi wa bidhaa hiyo.
-
Kanisa la Anglikana 'lasikitishwa' na sheria dhidi ya ushoga Uganda
Jun 10, 2023 07:03Kiongozi wa Kanisa la Kianglikana Duniani amedai kuwa amesikitishwa na hatua ya Uganda ya kupasisha sheria kali ya kupambana na ubaradhuli na mahusiano ya watu jinsia moja.
-
Ijumaa, Juni 02, 2023
Jun 01, 2023 22:01Leo ni Ijumaa tarehe 13 Mfunguo Pili Dhulqaada 1444 Hijria sawa na tarehe Pili Juni 2023 Milaadia.
-
Wabunge wa Kenya: Wanajeshi watenda jinai wa Uingereza wahukumiwe nchini
Apr 12, 2023 23:59Wanajeshi wa Jeshi la Uingereza wanaotoa mafunzo nchini Kenya wanaofanya mauaji nchini humo huenda wakakabiliwa na mashtaka katika mahakama za Kenya iwapo mapendekezo yaliyopendekezwa bungeni na Kamati ya Ulinzi na Mahusiano ya Kigeni yatapitishwa.
-
Maandamano ya kutaka kufungwa kampuni za silaha za Israel yafanyika UK
Apr 02, 2023 07:46Wanaharakati wa kutetea haki za wananchi madhulumu wa Palestina wamefanya maandamano katika miji kadhaa ya Uingereza, kushinikiza kufungwa kwa mashirika ya kuzalisha silaha ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika nchi hiyo ya Ulaya.