-
Mufti Mkuu wa Russia asifu juhudi za Iran za kuunganisha Umma wa Kiislamu
Aug 24, 2026 04:38Mkuu wa Baraza la Mufti na Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu wa Russia amepongeza hatua za Tehran kuimarisha umoja wa Umma wa Kiislamu.
-
Muislamu aliyeshinda kuwania Useneta Michigan atumiwa jumbe za chuki 3,000 kwa siku
Aug 12, 2026 11:42Uchunguzi mpya uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Chuki Zilizoratibiwa (CSOH) cha nchini Marekani unaonyesha kuwa jumbe za maandishi zilizomlenga Abdulraham El-Sayed, za hisia za chuki dhidi yake kwa sababu ya Uislamu wake zilifikia wastani wa 3,099 kwa siku katika muda wa wiki moja baada ya ushindi wake, ikilinganishwa na wastani wa watu 155 kila siku katika miezi miwili kabla yake; hilo likiwa ni ongezeko la asilimia 1,895.
-
Chuki dhidi ya Uislamu zaongezeka Ujerumani, matukio 231 yarekodiwa katika nusu ya mwaka
Aug 12, 2026 03:33Mamlaka za Ujerumani zimerekodi makosa 231 ya jinai yaliyofanywa dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2026.
-
Alipoaga Dunia
Aug 11, 2026 11:23Tunafungua kipindi chetu kwa Hadithi maarufu ya Bwana Mtume (saw) ambayo madhumuni yake yamepokewa katika Hadithi nyingi zilizoandikwa na wanazuoni wa madhehebu mbalimbali za Kiislamu.
-
Waislamu wa Canada watoa wito kwa serikali kupambana na chuki dhidi ya Uislamu
Jun 06, 2026 11:36Waislamu wa Canada wameitaka serikali kupambana na chuki dhidi ya Uislamu nchini humo kupitia mageuzi ya kina na hatua madhubuti.
-
Umoja wa Wanazuoni Waislamu: Kuanzisha uhusiano na Israel kuna madhara kwa nchi za Kiislamu
May 31, 2026 12:52Umoja wa Wasomi wa Kiislamu Duniani umetangaza upinzani wake kamili kwa tishio lolote linaloelekezwa kwa nchi za Kiislamu au mataifa yao kutoka upande wowote ule, na kuonya kuhusu matokeo mabaya ya kunzisha uhusiano na utawala wa Tel Aviv.
-
Mahujaji wanasimama Arafa leo kutekeleza nguzo muhimu ya Hija
May 26, 2026 03:17Mamilioni ya Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu, Al Kaaba, leo wanasimama katika uwanja wa Arafa katika kilele cha ibada tukufu ya Hija.
-
Hukumu za Ibada ya Hija- Ihram
May 23, 2026 08:06Baada ya miaka mingi na kuwa mbali na Makka, Mtume Muhammad (saw) na Masahaba wake walielekea katika eneo hilo kwa ajili ya kufanya ibada ya Umra katika mwaka wa 6 wa Hijria. Wote walivaa Ihram mahali paitwapo Dhul-Hulaifah (Msikiti Shajara), ambapo palikuwa umbali wa kilomita 450 kutoka Makka.
-
Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Uko Imara Zaidi ya Ulivyokuwa Huko Nyuma
May 13, 2026 13:11Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar ameeleza katika mahojiano marefu aliyofanyiwa na televisheni ya Al Jazeera kwamba, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran uko mara zaidi hivi sasa kuliko ulivyokuwa huko nyuma.
-
Mufti Mkuu wa Russia: Umma wa Kiislamu unapaswa kusimama pamoja na Iran dhidi ya njama za shetani
May 02, 2026 07:35Mufti Mkuu na Mkuu wa Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu wa Russia ameeleza kuwa, Umma wa Kiislamu unapaswa kusimama pamoja na Iran dhidi ya njama za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel na akasema: "Iwapo Waislamu watakuwa na umoja na mshikamano, kambi ya shetani haiwezi kamwe kurudia uchokozi dhidi ya Gaza, Syria, Iran na Lebanon."