-
Waziri Mkuu wa jimbo la North Rhine-Westphalia ataka kutambuliwa Uislamu kuwa dini rasmi nchini Ujerumani
May 21, 2018 03:34Waziri Mkuu wa jimbo la North Rhine-Westphalia (nord rayen westfaliya) la magharibi mwa Ujerumani ametaka dini ya Kiislamu kutambuliwa rasmi nchini humo
-
Msomi wa Algeria: Uwahabi ndicho chanzo cha uharibifu wa fikra katika nchi za Kiislamu
Apr 24, 2018 03:24Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu nchini Algeria amesema kuwa, makundi ya Kisalafi ndicho chanzo cha uharibifu wa kifikra katika nchi za Kiislamu ikiwemo Algeria.
-
Pew Research Center: Uislamu ndiyo dini kubwa zaidi inayokuwa kwa kasi duniani
Mar 15, 2018 11:29Uchunguzi uliofanywa na kituo cha utafiti cha Pew Research Center cha Marekani unaonyesha kuwa, Uislamu ndiyo dini kubwa inayokuwa na kuongezeka kwa kasi duniani ikilinganishwa na dini nyingine.
-
Mwanaharakati Pakistan: Dini ya Uislamu haihusiki hata kidogo katika kumwaga damu
Mar 15, 2018 11:03Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kisiasa na Kidini nchini Pakistan, amesema kuwa Uislamu wa kweli hauhusiki kwa namna yoyote na umwagaji damu unaofanywa na makundi ya kigaidi.
-
Vazi la Hijabu na Uhuru wa Mwanamke
Mar 03, 2018 06:49Vazi la staha la mwanamke wa Kiislamu, hijabu ni miongoni masuala yaliyozusha mjadala mkubwa na mbali na mvuto wake, lakini pia limekabiliwa na mitazamo tofauti katika jamii mbalimbali.
-
Araqchi: Quds ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa Kiislamu
Jan 31, 2018 12:02Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Ni yakini kwamba Quds tukufu ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa Kiislamu na utarejea mikononi mwa Umma wa Kiislamu.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 21 na sauti
Jan 11, 2018 06:40Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 21 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Uislamu kuwa dini ya pili kwa ukubwa nchini Marekani 2040
Jan 07, 2018 04:23Uchunguzi uliofanywa na kituo cha utafiti cha Pew nchini Marekani umeonesha kuwa, idadi ya Waislamu nchini humo itakuwa ya pili kwa ukubwa, baada ya Ukristo kufikia mwaka 2040.
-
Erdogan ataka Waislamu walio wachache Ugiriki waheshimwe
Dec 09, 2017 04:03Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ametoa mwito wa kuheshimwa haki za jamii ya Waislamu walio wachache nchini Ugiriki.
-
Donald Trump atangazwa kuwa nembo ya kupiga vita Uislamu mwaka 2017
Nov 27, 2017 04:42Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu (IHRC) yenye makao yake mjini London nchini Uingereza imemtangaza Rais Donald Trump wa Marekani kuwa ndio nembo ya propaganda chafu dhidi ya Uislamu katika mwaka huu wa 2017.