-
Mufti wa zamani Misri atahadharisha kuhusu mfumo wa elimu unaopiga vita Uislamu Magharibi
Aug 01, 2017 01:28Mufti wa zamani wa Misri ametahadharisha kuhusu athari mbaya za mfumo wa elimu unaopiga vita Uislamu katika nchi za Magharibi.
-
Msomi wa Misri: Uislamu sio dini ya kufurutu ada na utumiaji mabavu
Jul 16, 2017 23:55Mkuu wa Kamati ya Masuala ya Dini katika Bunge la Misri amesema kuwa, Uislamu sio dini ya kufurutu ada, aasubi na utumiaji mabavu.
-
Uchunguzi: Uislamu unaenea kwa kasi nchini Australia
Jun 28, 2017 02:55Matokeo ya uchunguzi mpana na mkubwa wa maoni uliofanyika nchini Australia yanaonesha kasi kubwa ya watu kuelekea na kuingia kwenye dini tukufu ya Kiislamu nchini humo.
-
Misri: Uislamu ni muongozo wa maisha bora, si dini ya mauaji na uharibifu
Jun 14, 2017 22:00Waziri wa Wakfu wa Misri amesema kuwa, dini tukufu ya Kiislamu haina uhusiano wowote na mauaji na jinai zinazofanywa na baadhi ya watu kwa jina la Uislamu, bali dini hiyo ni muongozo wa maisha bora kwa mwanadamu.
-
PEW: Waislamu wataendelea kuongezeka kwa kasi duniani
May 28, 2017 23:13Shirika moja la utafiti nchini Marekani limesema uchunguzi umebaini kuwa, idadi ya Waislamu itazidi kuongezeka kwa kasi duniani.
-
Mahakama yaagiza kucharazwa viboko mahanithi huko nchini Indonesia
May 17, 2017 23:17Mahakama ya Kiislamu nchini Indonesia imetoa hukumu ya kucharazwa viboko 85 hadharani, mahanithi wawili waliopatikana na hatia ya kufanya liwati na kujihusisha na uhusiano wa jinsia moja.
-
Uislamu unaenea kwa kasi nchini Zimbabwe
May 15, 2017 23:34Uislamu unaenea kwa kasi nchini Zimbabwe huku wakaazi wengi wa nchi hiyo wakiwa sasa wanafahamu na kukubali mafundisho ya dini hiyo tukufu.
-
Sisitizo la Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu juu ya kulindwa utambulisho wa Kiislamu na maarifa ya Qur'ani
Apr 28, 2017 03:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hii leo ulimwengu wa ukafiri umekusudia kufuta kabisa utambulisho wa Kiislamu katika kila pembe ya dunia. Ayatullah Sayyid Ali Khamenei alisema hayo jana Alkhamisi alipokutana na maustadhi, maqarii na mahufadhi wa Qur'ani Tukufu walioshiriki katika Mashindano ya 34 ya Kimataifa ya Qur'ani hapa nchini Iran kutoka nchi 83 za dunia na kubainisha kwamba, utambulisho wa Kiislamu unazuia uingiliaji na ubeberu wa maadui.
-
Kiongozi Muadhamu: Ulimwengu wa ukafiri umekusudia kuufuta utambulisho wa Kiislamu
Apr 27, 2017 11:33Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amesema kuwa kuufahamu na kuufanyia kazi usuli wa Qur'ani wa "Kumwamini Mwenyezi Mungu na kumpinga Shetani" kutaupa izza na heshima umma wa Kiislamu na akaongezea kwa kusema hii leo ulimwengu wa ukafiri umekusudia kufuta utambulisho wa Kiislamu katika kila pembe ya dunia.
-
Hizbullah: Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni mhuishaji halisi wa Uislamu
Apr 04, 2017 23:39Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ni kiongozi wa kipekee katika zama hizi na mhuishaji halisi wa Uislamu kifikra na kivitendo.