-
Twitter ya Elon Musk yawakasirisha Waislamu Marekani, "CAIR" yamtaka ajifunze Uislamu
Jan 01, 2023 04:14Bilionea wa Kimarekani, Elon Musk, ambaye ni mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Twitter, amewakasirisha Waislamu nchini Marekani baada ya kuchapisha picha kwenye akaunti yake ya Twitter, ikiwa na idadi ya alama za fikra na itikadi anazodai zinalenga "kupindua na kuharibu fikra na akili za watu."
-
Rais wa Iran amtumia Papa Francis Salamu za Krismasi
Dec 26, 2022 12:01Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za pongezi kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Nabii Isa bin Maryam-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-na kuwadia mwaka mpya wa Miladia.
-
Mkutano wa kimataifa wa mazungumzo ya Uislamu na Uhindu mjini New Delhi India
Dec 13, 2022 11:50Duru ya tatu ya mkutano wa kimataifa wa mazungumzo ya Uislamu na Uhindu iliyokuwa na anuani ya "Mchango wa Dini wa Kuishi Pamoja Katika Amani na Ustawi" umefanyika mjini New Delhi kwa kuhudhuriwa na makhatibu, shakhsia wenye vipawa na Maulamaa wa Iran na India.
-
Akhlaqi Katika Uislamu (46)
Nov 28, 2022 04:58Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yako mpendwa msikilizaji popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha kusikiliza sehemu hii ya 46 ya kipindi cha Akhlaqi Katika Uislamu nikiwa na matumaini kuwa, mimi pamoja na wewe tutanufaika na yale tutakayoyasikia katika kipindi hiki ambacho kwa leo kitaendelea kuzungumzia na kuchambua "Akhlaqi za Kisiasa" katika Uislamu. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Akhlaqi Katika Uislamu (36)
Nov 10, 2022 15:08Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yako mpendwa msikilizaji popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha kusikiliza sehemu hii ya 36 ya kipindi cha Akhlaqi Katika Uislamu nikiwa na matumaini kuwa, mimi pamoja na wewe tutanufaika na yale tutakayoyasikia katika kipindi hiki ambacho kwa leo kitazungumzia nafasi ya akili katika Akhlaqi za Kiislamu. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Akhlaqi Katika Uislamu (28)
Nov 09, 2022 07:53Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yako mpendwa msikilizaji popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha kusikiliza sehemu hii ya 28 ya kipindi cha Akhlaqi Katika Uislamu nikiwa na matumaini kuwa, mimi pamoja na wewe tutanufaika na yale tutakayoyasikia katika kipindi hiki ambacho kwa leo kitaendelea kuzungumzia nukta nyingine ya akhlaqi katika Uislamu kwa kutilia mkazo juu ya taasisi muhimu ya familia. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Akhlaqi Katika Uislamu (19)
Nov 06, 2022 15:12Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yako mpendwa msikilizaji popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha kusikiliza sehemu hii ya 19 ya kipindi cha Akhlaqi Katika Uislamu nikiwa na matumaini kuwa, mimi pamoja na wewe tutanufaika na yale tutakayoyasikia katika kipindi hiki. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu ambapo maudhui yetu ya leo ni nafasi ya suluhu, upatanishaji na maridhiano katika Uislamu.
-
Akhlaqi Katika Uislamu (15)
Nov 06, 2022 14:45Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yako mpendwa msikilizaji popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha kusikiliza sehemu hii ya 15 ya kipindi cha Akhlaqi Katika Uislamu nikiwa na matumaini kuwa, mimi pamoja na wewe tutanufaika na yale tutakayoyasikia katika kipindi hiki. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu, ambayo kwa leo yatahusu sifa ya uaminifu na kutunza amana na jinsi ilivyotiliwa mkazo katika dini tukufu ya Uislamu.
-
Licha ya kufungwa misikiti 24 nchini Ufaransa, Marine Le Pen ataka misikiti zaidi ifungwe
Oct 05, 2022 07:09Mwanasiasa mwenye siasa kali za mrengo wa kulia wa Ufaransa, Marine Le Pen amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo, Gérald Darmanin, kufunga misikiti zaidi ya Waislamu akisema kuwa kufungwa misikiti 24 katika kipindi cha miaka miwili iliyopita haitoshi.
-
Rais wa Tunisia apasisha kufutwa Uislamu katika katiba ya nchi hiyo
Jun 24, 2022 01:16Rais wa Tunisia, Kais Saied alitangaza Jumanne (tarehe 21 Juni) kwamba Uislamu hautakuwa tena dini ya serikali katika katiba mpya, ambayo itapigiwa kura ya maoni Julai 25, na kwamba jina la Uislamu halitakuwemo tena katika katiba mpya ya nchi hiyo.