Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ujerumani

  • Iran: Marekani ikijitoa katika JCPOA, tutaanzisha tena shughuli za nyuklia kwa kiwango cha kisasa zaidi

    Iran: Marekani ikijitoa katika JCPOA, tutaanzisha tena shughuli za nyuklia kwa kiwango cha kisasa zaidi

    Apr 23, 2018 00:09

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, chaguo kuu la Iran endapo Marekani itajitoa katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA ni kuanzisha tena shughuli za nyuklia za taifa hili zenye malengo ya amani lakini kwa kiwango cha juu na cha kisasa zaidi.

  • Trump aendelea kukosolewa, bunge la Ujerumani lalaani shambulizi la Marekani dhidi ya Syria

    Trump aendelea kukosolewa, bunge la Ujerumani lalaani shambulizi la Marekani dhidi ya Syria

    Apr 21, 2018 23:16

    Kinyume na serikali ya Ujerumani, bunge la nchi hiyo limelaani shambulizi la Marekani, Ufaransa na Uingereza dhidi ya Syria na kulitaja kuwa ni kukiuka sheria na mikataba ya kimataifa.

  • Kukiri Ujerumani nafasi muhimu ya Russia ulimwenguni

    Kukiri Ujerumani nafasi muhimu ya Russia ulimwenguni

    Apr 02, 2018 09:32

    Heiko Maas, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, amesema kuwa nchi yake inakaribisha mazungumzo na Russia kwa ajili ya kukomesha mgogoro uliojitokeza hivi sasa baina ya Moscow na nchi za Magharibi zikiongozwa na Uingereza.

  • Ujerumani yasisitizia umuhimu wa kufanya mazungumzo na Russia

    Ujerumani yasisitizia umuhimu wa kufanya mazungumzo na Russia

    Apr 01, 2018 12:44

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kufanya mazungumzo na Russia.

  • Timuatimua ya wanadiplomasia kati ya Russia na madola ya Magharibi yaendelea, Ujerumani yakaribisha mazungumzo

    Timuatimua ya wanadiplomasia kati ya Russia na madola ya Magharibi yaendelea, Ujerumani yakaribisha mazungumzo

    Mar 31, 2018 03:01

    Huku hali ya kutimua wanadiplomasia kati ya madola ya Magharibi na Russia ikiendelea, serikali ya Ujerumani imesema kuwa inakaribisha mazungumzo na Moscow.

  • Kiongozi wa eneo la Catalani atiwa mbaroni Ujerumani

    Kiongozi wa eneo la Catalani atiwa mbaroni Ujerumani

    Mar 25, 2018 09:50

    Kiongozi wa zamani wa eneo la Catalani linalotaka kujitenga na Uhispania, Carles Puigdemont ametiwa mbaroni leo na polisi nchini Ujerumani kufuatia waranti wa kimataifa uliotolewa na Uhispania.

  • Sisitizo la viongozi wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa la kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Sisitizo la viongozi wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa la kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Mar 23, 2018 03:27

    Viongozi wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa walikutana jana Alkhamisi pambizoni mwa mkutano wa viongozi wa Umoja wa Ulaya mjini Brussels Ubelgiji ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia suala la makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Msikiti mwingine washambuliwa kwa bomu nchini Ujerumani

    Msikiti mwingine washambuliwa kwa bomu nchini Ujerumani

    Mar 20, 2018 12:23

    Msikiti mmoja katika mji wa Ulm, kusini mwa Ujerumani umeshambuliwa kwa bomu na watu wasiojulikana, chini ya wiki mbili baada ya msikiti mwingine kuteketezwa kwa moto katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Ulaya, Berlin.

  • Iran haifanyi mazungumzo tena kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Iran haifanyi mazungumzo tena kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Mar 16, 2018 03:20

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa katu haitakubali kufanyika mazungumzo mapya kuhusu mapatano ya nyuklia baina yake na mdola sita makubwa duniani.

  • Wenye chuki dhidi ya Uislamu wachoma moto msikiti nchini Ujerumani

    Wenye chuki dhidi ya Uislamu wachoma moto msikiti nchini Ujerumani

    Mar 11, 2018 12:58

    Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa matukio ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu barani Ulaya, wavamizi wasiojulikana wameuteketeza moto msikiti mmoja katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS