-
UN: 70% ya wahanga wa ukatili wa Israel Gaza ni watoto, wanawake
Nov 08, 2024 23:50Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa, wanawake na watoto wanaunda asilimia kubwa ya vifo na majeruhi wa mashambulizi ya kinyama ya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Wizara: Israel imeua wanafunzi karibu 12,000 tangu Oktoba 2023
Oct 29, 2024 23:59Wizara ya Elimu katika Ukanda wa Gaza imesema utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua wanafunzi zaidi ya 11,852 katika eneo hilo lililozingirwa la Palestina, tangu Oktoba mwaka jana 2023.
-
Ripota wa UN: Mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza ni "aibu ya pamoja ya karne"
Oct 21, 2024 08:05Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu ameyataja mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza kuwa ni "aibu ya pamoja ya karne" huku jamii ya kimataifa ikishindwa kulinda haki za Wapalestina.
-
Rais wa Afrika Kusini aitaka dunia kuishinikiza Israel kusitisha mashambulizi huko Gaza, Lebanon
Oct 14, 2024 23:15Rais wa Afrika Kusini jana aliwataka vingozi wa nchi mbalimbali duniani kuushinikiza utawala wa Israel ili kusitisha mashambulizi yake katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Wapalestina 28 wauawa shahidi katika mashambulizi ya Israel Gaza
Oct 11, 2024 07:48Makumi ya Wapalestina wameuawa shahidi huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika jinai mpya za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Utafiti: 86% ya Wazayuni hawataki tena kuishi karibu na Gaza baada ya vipigo
Oct 06, 2024 22:49Utafiti mpya wa maoni umefichua kuwa, asilimia 86 ya Waisraeli wanasema hawataishi tena katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vilivyoko karibu na Ukanda wa Gaza baada ya kumalizika mgogoro huo mbaya zaidi wa kibinadamu uliosababishwa na chokochoko za Tel Aviv.
-
Seneta wa Nigeria: Jinai za Israel Gaza, Lebanon zinaonyesha UN haina maana
Sep 26, 2024 23:35Mwanasiasa wa ngazi ya juu wa Nigeria amesema kuwa, mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na huko Beirut, mji mkuu wa Lebanon yameonyesha kushindwa kwa dunia kushughulikia suala la Palestina, na pia imeonyesha namna Umoja wa Mataifa ulivyo butu kwa kushindwa kukomesha ukatili na unyama wa Israel.
-
Watoto 625,000 wenye umri wa kwenda shule Gaza wanakabiliwa na sonona
Sep 26, 2024 23:34Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limeripoti kuwa, zaidi ya watoto 625,000 wenye umri wa kwenda shule katika Ukanda wa Gaza wanaandamwa na kiwewe, sonona na msongo mkali wa mawazo huku wakiishi katika magofu na majengo yaliyoharibiwa na mabomu ya Wazayuni.
-
Iran yalaani shambulio la Israel dhidi ya skuli ya UN Gaza
Sep 12, 2024 23:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulizi la anga la Israel dhidi ya shule nyingine iliyogeuzwa makazi na wakimbizi katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 18, wakiwemo wafanyakazi sita wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).
-
Hizbullah: Adui hana chaguo jingine ghairi ya kusitisha vita Gaza
Sep 08, 2024 09:26Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, adui ana njia moja pekee, ambayo ni kusimamisha hujuma na mashambulizi ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Gaza.