-
Makumi wauawa shahidi Gaza katika hujuma za anga za Israel
Jun 03, 2024 11:28Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimefanya mashambulizi ya anga katika maeneo kadhaa ya Ukanda wa Gaza zikiwemo kambi za wakimbizi na kuua shahidi makumi ya Wapalestina.
-
Erdogan: Netanyahu, mwenye kiu ya damu sharti akomeshwe
Jun 03, 2024 11:27Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki kwa mara nyingine amemshambulia vikali kwa maneno Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu na kumtaja kama mtu mwenye kiu ya kumwaga na kufyonza damu.
-
IFRC yataka Israel isitishe mashambulizi katika Ukanda wa Gaza
May 30, 2024 07:08Mtandao mkubwa zaidi wa misaada ya kibinadamu duniani umesisitizia udharura wa kusitishwa vita katika Ukanda wa Gaza, eneo ambalo mamilioni ya Wapalestina wanakabiliwa na baa la njaa.
-
Wapalestina wengine 60 wauawa na jeshi la Israel huko Gaza
May 24, 2024 03:00Makumi ya watu wakiwemo watoto wadogo na wanawake wanaripotiwa kuuawa shahidi na jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
UN: 40% ya wakazi wa Gaza wamelazimika kuhama makwao ndani ya wiki 2
May 21, 2024 07:19Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadu (OCHA) imesema asilimia 40 wa Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wamelazimika kuyahama makazi yao katika kipindi cha wiki mbili zilizopita.
-
Italia yaitaka Israel isitishe operesheni za kijeshi Rafah
May 17, 2024 07:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ukomesha operesheni zake za kijeshi katika mji wa Rafah, wa kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Afisa Myahudi katika serikali ya Biden ajiuzulu kulalamikia mauaji ya kimbari ya Ghaza
May 16, 2024 06:23Lily Greenberg Call, msaidizi maalumu wa mkuu wa wafanyakazi katika Idara ya Mambo ya Ndani ya serikali ya Marekani amekuwa mteuliwa wa kwanza wa kisiasa wa Kiyahudi kujiuzulu hadharani akipinga uungaji mkono wa Washington kwa mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika katika Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro.
-
Makumi ya Wapalestina wauawa katika hujuma za Israel Gaza
May 14, 2024 11:05Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimefanya mashambulizi mapya ya anga dhidi ya maeneo tofauti ya Ukanda wa Gaza na kuua shahidi makumi ya Wapalestina, wakiwemo watoto wadogo na wanawake.
-
UNICEF yataka kukomeshwa mauaji ya watoto yanayofanywa na Israel Gaza
May 14, 2024 10:25Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetoa mwito wa kukomeshwa mauaji ya kiholela dhidi ya Wapalestina, hasa watoto wadogo katika Ukanda wa Gaza.
-
Askari wa Israel waendelea kuangamizwa na wanamuqawama Gaza
May 11, 2024 07:59Wanajeshi wengine watano wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa katika shambulizi la ulipizaji kisasi lililofanywa na Mujahidina wa Brigedi za Izzuddin al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika Ukanda wa Gaza.