-
WHO yabainisha wasiwasi mkubwa juu ya uwezekano wa kutokea mlipuko mkubwa wa polio huko Gaza
Jul 24, 2024 09:28Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa lina wasiwasi mkubwa kuhusu uwezekano wa kutokea mlipuko mkubwa wa polio huko Ukanda wa Gaza kufuatia kugunduliwa hivi karibuni virusi vya polio kwenye maji taka.
-
UN: Utapiamlo unatishia maisha ya wajawazito na vichanga Gaza
Jul 22, 2024 07:28Mfuko wa Idadi ya Watu wa Umoja wa Mataifa (UNPF) umetahadharisha kuhusu taathira hasi za utapiamlo zinazowakodolea macho wanawake wajawazito na watoto wachanga katika Ukanda wa Gaza; huku vita vya kikatili na vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina katika eneo hilo vikishadidi.
-
Iran yalitaka Baraza la Usalama liilazimishe Israel ikomeshe mauaji ya kimbari Gaza
Jul 17, 2024 23:32Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kivitendo za kuulazimisha utawala wa Kizayuni ukomeshe 'mara moja na bila masharti yoyote' mauaji ya kimbari unaoyafanya dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Bagheri Kani na Rais wa Baraza Kuu la UN wajadili mauaji ya Gaza
Jul 16, 2024 04:14Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuna udharura wa kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kukomesha jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Lancet: Wapalestina waliouawa Gaza wanapindukia 186,000
Jul 09, 2024 03:35Jarida mashuhuri la masuala ya tiba na afya la The Lancet la Uingereza limeripoti kuwa, yumkini idadi halisi ya Wapalestina waliouawa shahidi katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza inazidi watu 186,000.
-
Matokeo ya miezi 9 ya mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza
Jul 04, 2024 22:38Vita vya mauaji ya kizazi vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza vimemaliza mwezi wake wa tisa na kuiingia katika mwezi wa kumi kutokana na uzembe wa jamii ya kimataifa wa kutofanya lolote la maana kwa ajili ya kusimamisha mauaji hayo.
-
Ijumaa, 28 Juni, 2024
Jun 27, 2024 23:44Leo ni Ijumaa tarehe 21 Mfunguo Tatu Dhulhija 1445 Hijria sawa na Juni 28 mwaka 2024.
-
Waziri Mkuu: Norway kupokea wagonjwa kutoka Gaza
Jun 27, 2024 09:10Jonas Gahr Store Waziri Mkuu wa Norway amethibitisha leo kuwa nchi hiyo itawapokea na kuwatibu Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza. Amesema Norway itashiriki katika juhudi za kimataifa za kuwasaidia Wapalestina ambao matibabu haraka iwezekanavyo.
-
Israel yashambulia tena Nuseirat, Wapalestina 17 wauawa shahidi
Jun 18, 2024 03:36Kwa mara nyingine tena, askari wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya mashambulio ya kikatili kwenye kambi ya wakimbizi ya Nuseirat na kuua shahidi na kujeruhi makumi ya Wapalestina.
-
HAMAS: Blinken amevuruga juhudi za usitishaji vita Gaza
Jun 13, 2024 04:11Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken anabeba dhima ya kutofikiwa makubaliano tarajiwa ya kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza.