-
Wiki ya kimataifa ya kuondoa mzingiro wa Ukanda wa Gaza
Jun 06, 2016 06:44Wakati maadhimisho ya kimataifa ya kuondoa mzingiro uliowekewa Ukanda wa Gaza yakiwa yanakaribia, A'laa al-Batt'ah, mratibu wa harakati za kitaifa za kuondoa mzingiro wa Gaza ametoa wito kwa Wapalestina na watetezi wa uhuru duniani kote kushiriki katika shughuli na harakati za wiki ya kimataifa ya kuondolewa mzingiro wa Gaza ambayo inatazamiwa kuanza katika wiki ya mwisho ya mwezi huu wa Juni.
-
Asilimia 97 ya maji ya Ukanda wa Gaza si safi na si salama
May 18, 2016 03:30Idara ya Maji ya Palestina imetangaza kuwa zaidi ya asilimia 97 ya maji ya Ukanda wa Gaza hayafai kutumiwa kwa kunywa.
-
Hamas: Hujuma mpya ya Israel Ukanda wa Gaza itapata jibu kali
May 06, 2016 23:50Naibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameuonya Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mashambulizi yake mapya katika Ukanda wa Gaza huku uvamizi huo mpya wa Tel Aviv katika eneo hilo ukiingia siku yake ya nne Jumamosi.
-
Jeshi la Israel laanzisha mashambulizi dhidi ya kambi za Hamas, Gaza
May 04, 2016 22:14Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limeshambulia kwa makombora minara ya kijeshi inayomilikiwa na harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas katika Ukanda wa Gaza.
-
Mwangwi wa mgogoro wa kibinadamu katika Ukanda wa Gaza
Apr 28, 2016 23:37Ripoti mbalimbali kutoka Ukanda wa Gaza huko Palestina zinasema kuwa, hali ya mambo katika eneo hilo imezidisha wasiwasi wa fikra za waliowengi duniani na inaakisi mgogoro mkubwa wa kibinadamu katika eneo hilo linalozingirwa na Wazayuni maghasibu.
-
Majasusi 5 wa Israel wahukumiwa kifo Gaza
Apr 19, 2016 22:20Majasusi watano wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamehukumiwa adhabu ya kifo katika Ukanda wa Gaza.
-
Maandamano ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Apr 15, 2016 23:42Wapalestina wa maeneo tofauti ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan wamefanya maandamano makubwa ya kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na hali ngumu na ya kusikitisha ya Wapalestina wa Gaza
Apr 15, 2016 03:10Baada ya kupita miaka 10, eneo la Ukanda wa Gaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu lingali limewekewa mzingiro na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel; na kutokana na kuendelea kukumbwa na mashambulio ya ndege za utawala huo ghasibu, fursa la kulikarabati na kulijenga upya eneo hilo imebaki kuwa ndoto.
-
Hamas yaonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu Ghaza
Apr 06, 2016 02:59Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu Palestina, Hamas, ameonya kuhusu maafa ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza kutokana na mzingiro wa kinyama wa utawala haramu wa Israel katika eneo hilo.
-
Kuendelea harakati za kimataifa kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa Palestina
Mar 01, 2016 23:17Kuendelea hatua zisizo za kibinadamu za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina sambamba na kuendelea mzingiro dhidi ya Gaza na vile vile hujuma na uvamizi wa mara kwa mara wa utawala huo dhidi ya Ukanda wa Gaza unaofanyika kwa baraka za Marekani, kumelifanya eneo hilo kukabiliwa na hali mbaya mno ya kibinadamu.