-
Borrell: Gaza limegeuka kaburi kubwa zaidi la wazi duniani
Mar 19, 2024 03:29Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya huku akieleza wasiwasi mkubwa alionao kuhusu mgogoro wa kibinadamu katika Ukanda wa Gaza amesema kuwa, eneo hilo la Wapalestina lililozingirwa limegeuka na kuwa kaburi kubwa zaidi la wazi duniani.
-
Jihadul Islami: US na Isreal zinafuatilia malengo sawa Gaza
Mar 16, 2024 07:20Afisa wa ngazi ya juu wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema pamoja na unafiki na hadaa za Marekani, lakini dola hilo la kiistikbari linafuatilia malengo yanayoshabihiana na ya Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kukosolewa propaganda za Marekani kuhusiana na misaada ya kibinadamu
Mar 10, 2024 11:20Akihutubia bunge la Marekani siku ya Alkhamisi, Rais Joe Biden alisema ameliamuru jeshi la nchi hiyo kuweka bandari kwenye pwani ya Gaza katika Bahari ya Mediterania.
-
EU yaikosoa Israel kwa kuzuia misaada ya kibinadamu Gaza
Mar 03, 2024 07:39Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amekosoa hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuzuia kuingizwa na kusambazwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
"Kamishna wa Haki wa UN achukue hatua za kukomesha jinai za Israel Gaza"
Feb 28, 2024 07:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaka Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa achukue hatua madhubuti za kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Morocco: Gaza inashuhudia janga la kuogofya la kibinadamu
Feb 28, 2024 06:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco amesema Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na 'janga la kibinadamu' wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel umeshadidisha mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya eneo hilo lililozingirwa.
-
Walimwengu wailaani US kwa kutumia veto kuzuia usitishaji vita Gaza
Feb 21, 2024 02:57Mataifa na mashirika mbali mbali ya kimataifa yamelaani vikali hatua ya Marekani ya kutumia kura yake ya turufu kupinga rasimu ya azimio iliyowasilishwa na Algeria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, la kutaka kusitishwa mara moja mapigano katika Ukanda wa Gaza.
-
Mkutano wa mawaziri wa Kiarabu Riyadh wataka kuhitimishwa vita vya Gaza
Feb 09, 2024 12:34Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa mataifa matano ya Kiarabu walmekutana Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia na kuutoa mwito wa kusitishwa vita huko Gaza.
-
Israel yapuuza amri ya ICJ, yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Gaza
Jan 27, 2024 11:52Utawala haramu wa Israel umedharau uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) wa kuutaka uchukue hatua zote zinazohitajika kuzuia vitendo vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, na badala yake jeshi la utawala huo pandikizi limeendelea kumwaga damu za Wapalestina wa Gaza.
-
Seneta Sanders: Washington ni mshirika wa jinai za Israel huko Gaza
Jan 25, 2024 11:42Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani amesema serikali ya Washington ni mshirika katika jinai za kutisha za Israel huko Ukanda wa Gaza kutokana na uungaji mkono wake kwa utawala huo unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.