• Hujuma za Israel zimebomoa misikiti 1,000 Gaza tokea Oktoba 7

    Hujuma za Israel zimebomoa misikiti 1,000 Gaza tokea Oktoba 7

    Jan 22, 2024 12:02

    Wizara ya Wakfu na Masuala ya Dini katika Ukanda wa Gaza imesema mashambulizi ya vikosi vya utawala katili wa Israel dhidi ya eneo hilo lililozingirwa yamebomoa na kuharibu misikiti 1,000 tokea Oktoba 7 mwaka uliopita hadi sasa.

  • Israel inaiangamiza Palestina kielimu kwa kulenga wasomi na vituo vya kielimu Gaza

    Israel inaiangamiza Palestina kielimu kwa kulenga wasomi na vituo vya kielimu Gaza

    Jan 22, 2024 07:30

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umewauwa maprofesa 94 wa vyuo vikuu, mamia ya walimu, na maelfu ya wanafunzi katika Ukanda wa Gaza katika muda wa miezi mitatu, kwa mujibu wa shirika moja huru la kutetea haki za binadamu.

  • UN: Maelfu ya Wapalestina wa Gaza waliokamatwa na askari wa Israel wanateswa

    UN: Maelfu ya Wapalestina wa Gaza waliokamatwa na askari wa Israel wanateswa

    Jan 20, 2024 07:22

    Umoja wa Mataifa umesema huenda vikosi vya jeshi la Israel vimewakamata maelfu ya Wapalestina wakazi wa Ukanda wa Gaza, huku utawala huo wa Kizayuni ukiendeleza mauaji na jinai za kutisha dhidi ya wakazi wa eneo hilo uliolizingira.

  • OCHA: Israel inazuia kupelekwa dawa kaskazini mwa Gaza

    OCHA: Israel inazuia kupelekwa dawa kaskazini mwa Gaza

    Jan 17, 2024 02:36

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema utawala wa Kizayuni wa Israel umeendelea kuzuia ufikishaji wa misaada muhimu ya kibinaadamu ikiwa ni pamoja na dawa muhimu na mafuta ya kuendesha huduma za maji na usafi wa mazingira kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.

  • Afrika Kusini kuzishtaki Marekani na Uingereza kwa kuhusika na jinai za kivita za Israel Gaza

    Afrika Kusini kuzishtaki Marekani na Uingereza kwa kuhusika na jinai za kivita za Israel Gaza

    Jan 16, 2024 07:05

    Baada ya Afrika Kusini kuwasilisha kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kwa kuhusika na mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza, mawakili wapatao 50 wa nchi hiyo wanatayarisha mashtaka mengine tofauti dhidi ya serikali za Marekani na Uingereza kwa msingi kwamba, serikali hizo zinahusika katika jinai na uhalifu unaofanywa na jeshi la Israel huko Gaza.

  • Wanazuoni wa Kiislamu kutuma ujumbe Gaza

    Wanazuoni wa Kiislamu kutuma ujumbe Gaza

    Jan 15, 2024 11:48

    Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umeunda ujumbe ambao utautuma katika Ukanda wa wa Gaza kupitia Misri; huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukiendelea kuwashambulia kikatili Wapalestina wa eneo hilo lililozingirwa.

  • Vituo vya matibabu ya akili vyataka kutangazwa hali ya hatari Israel

    Vituo vya matibabu ya akili vyataka kutangazwa hali ya hatari Israel

    Jan 02, 2024 02:49

    Gazeti moja la utawala wa Kizayuni limefichua kuwa, tangu ilipoanza operesheni ya #Kimbunga_cha_al-Aqsa hadi hivi sasa, zaidi ya wakazi laki tatu wa utawala wa Kizayuni wameingia kwenye orodha ya watu wenye matatizo ya akili na saikolojia huko Israel.

  • Waandamanaji Uturuki: Marekani ndiye shetani halisi

    Waandamanaji Uturuki: Marekani ndiye shetani halisi

    Jan 01, 2024 11:55

    Kwa mara nyingine tena, wananchi wa Uturuki wamekusanyika nje ya Ubalozi Mdogo wa Marekani mjini Istanbul katika maandamano ya kuonyesha himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina hususan wa Ukanda wa Gaza wanaoendelea kukabiliwa na hujuma na mashambulio ya kinyama ya utawala haramu wa Israel.

  • HAMAS yalaani pendekezo la kuwafurusha wakazi wa Gaza

    HAMAS yalaani pendekezo la kuwafurusha wakazi wa Gaza

    Jan 01, 2024 11:54

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeashiria mpango wa Israel wa kuwafukuza kwa umati Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na kutahadharisha kuwa, pendekezo la viongozi wa utawala huo wa Kizayuni la kutaka kupunguzwa idadi ya wakazi wa Gaza ni jinai ya kivita.

  • Wazayuni waendelea kufanya mauaji ya kinyama Ghaza, kutokea angani, ardhini na baharini

    Wazayuni waendelea kufanya mauaji ya kinyama Ghaza, kutokea angani, ardhini na baharini

    Dec 31, 2023 02:30

    Mashambulizi ya kinyama na kikatili ya utawala wa Kizayuni ya angani, ardhi na majini yanaendelea kwenye Ukanda wa Ghaza hasa katika maeneo ya katikati na kusini mwa ukanda huo.