-
WHO: Dunia ichukue hatua za dharura kuzuia maafa zaidi Gaza
Dec 28, 2023 06:39Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa mara nyingine tena limeeleza wasi wasi wake kuhusu hali ya kutisha ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, jamii ya kimataifa ina wajibu wa kuchukua hatua za dharura za kukomesha 'maafa ya kibinadamu' yanayowakabili Wapalestina wa ukanda huo.
-
Wazayuni wakiri kushindwa katika vita vya Gaza
Dec 28, 2023 04:21kuchukua muda mrefu vita vya Gaza kumewafanya, baadhi ya Wazayuni kukiri kushindwa utawala ghasibu wa Israel katika vita vyake vya jinai huko Gaza.
-
Israel yashambulia makao makuu ya Hilali Nyekundu Gaza
Dec 27, 2023 02:53Vikosi vya jeshi katili la utawala haramu wa Israel vimeshambulia kwa mabomu makao makuu ya Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Waislamu US wamlaani Biden kwa kuunga mkono maangamizi ya kizazi Gaza
Dec 25, 2023 11:48Baraza la Mahusiano ya Kiislamu ya Marekani (CAIR) limeijia juu serikali ya Rais Joe Biden wa nchi hiyo kwa kile lilichokitaja kuwa ni 'mchango amilifu' wa Washington kwa mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Balozi wa Iran: Ulaya ichukue hatua za maana kukomesha mauaji ya kimbari Gaza
Dec 25, 2023 10:42Balozi wa Iran nchini Iraq amesema nchi za Ulaya zinapasa kuchukua hatua za maana kwa ajili ya kukomesha jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Mbali na kuua watoto wachanga, Wazayuni wanafanya uporaji pia Ghaza
Dec 24, 2023 02:39Mkuu wa Ofisi ya Upashaji Habari ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa mbali na jinai zao nyingine nyingine kama za kuua watoto wachanga, wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wanafanya uporaji pia wa mali za Wapalestina wakati wanapoingia kwenye nyumba walizozivunja kwa mashambulizi ya kikatili na kinyama huko Ghaza.
-
Watumishi wa umma Uholanzi waandamana wakitaka kusitishwa vita Gaza
Dec 23, 2023 02:27Makumi ya wafanyakazi wa umma nchini Uholanzi jana Ijumaa waliwashangaza wengi kwa kuingia mabarabarani kushiriki maandamano ya kutaka kutekelezwa usitishaji vita wa kudumu katika Ukanda wa Gaza.
-
Human Rights Watch: Meta inazuia sauti zinazowatetea Wapalestina kwenye Instagram na Facebook
Dec 22, 2023 03:06Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuwa sera za kamupini ya Meta zimezidi kuziba na kunyamazisha sauti zinazoiunga mkono Palestina kwenye mitandao ya kijamii ya Instagram na Facebook kutokana na vita vya Israel dhidi ya Gaza.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran azungumza na waziri mwenzake wa Afrika Kusini, Ghaza maudhui kuu
Dec 21, 2023 03:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Afrika Kusini na kujadiliana naye masuala mbalimbali muhimu ya pande mbili, ya kieneo na ya kimataifa na hasa vita vya Ghaza huko Palestina.
-
UN: Nusu ya wakazi wa Gaza katika hatari ya kufa njaa
Dec 15, 2023 10:38Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa, asilimia 50 ya wakazi wa eneo la Palestina la Ukanda wa Gaza linalokaliwa kwa mabavu wapo hatari ya kupoteza maisha kutokana na makali ya njaa.