-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia: Marekani inahusika katika uhalifu wa mauaji ya mwandishi habari Mrussia
Jul 24, 2023 11:04Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema Marekani inahusika katika uhalifu mpya wa Ukraine wa mauaji ya mwandishi wa habari wa Russia kwa kutuma mabomu ya vishada nchini Ukraine kwa kisingizio cha vita nchini humo.
-
Russia yatoa masharti saba ya kurudi tena kwenye mkataba wa usafirishaji nafaka
Jul 23, 2023 02:17Russia imetangaza kuwa iko tayari kurejea kwenye na mkataba wa nafaka uliosimamiwa na Umoja wa Mataifa na Uturuki, lakini kwa sharti tu kwamba mataifa ya Magharibi na Ukraine yatimize wajibu wao wa muda mrefu kuhusiana na Moscow ambao yameshindwa kuutekeleza hadi sasa.
-
Marekani yaona fahari kutumiwa silaha zake haramu za vishada Ukraine
Jul 21, 2023 07:49Marekani imepongeza na kusifu uamuzi wake wa kutuma mabomu yaliyopigwa marufuku kimataifa ya vishada nchini Ukraine.
-
Russia yawatahadharisha Wamagharibi kuhusu kutuma mabomu ya vishada huko Ukraine
Jul 17, 2023 04:23Rais wa Russia amezitahadharisha nchi za Magharibi kuhusu kutuma mabomu ya vishada huko Ukraine kwa kisingizio cha vita. Rais Vladimir Putin amebainisha haya kufuatia uamuzi wa karibuni wa Marekani kuhusu kutuma silaha hizo zizilizopigwa marufuku kimataifa huko Ukraine.
-
Kuongezeka upinzani wa ndani kwa sera ya Biden kuhusu vita vya Ukraine
Jul 16, 2023 02:52Licha ya msisitizo wa hivi majuzi wa Rais wa Marekani, Joe Biden, wa kuendelea kutoa misaada ya silaha ya Marekani kwa Ukraine sambamba na kuendelea kwa vita vya umwagaji damu nchini humo, katika uwanja wa siasa za ndani za Marekani kunashuhudia ungezeko kubwa la upinzani dhidi ya mbinu ya kuchochea vita za serikali ya Biden.
-
Biden aonya: Kuipatia Ukraine uanachama wa NATO wakati wa vita kutaishia kwenye Vita vya Tatu vya Dunia
Jul 14, 2023 11:49Rais Joe Biden wa Marekani ameonya kuwa uwezekano wa Ukraine kujiunga na NATO wakati iko vitani na Russia huenda matokeo yake ya mwisho yakawa ni kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia.
-
Russia: Tunakuchukulia kupata Ukraine ndege za kivita za F-16 kuwa ni kitisho cha nyuklia
Jul 14, 2023 04:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema nchi yake, tofauti na Waanglo-Saxons, imekuwa ikitafuta amani kila wakati na akabainisha: "tunachukulia Ukraine kupata uwezo wa kijeshi kama wa kuwa na ndege za kivita za F-16 kwamba ni tishio la nyuklia kutoka Magharibi".
-
Siku 500 za vita huko Ukraine na mustakbali wake
Jul 10, 2023 13:00Vita vya Ukraine vimepitisha siku 500 tangu kuanza na hakuonekani matarajio ya kumalizika vita hivyo vya umwagaji damu barani Ulaya. Vita hivyo ambavyo awali ilidhaniwa kwamba huwenda vingechukua muda mfupi na kumalizka haraka, sasa vimekuwa mapigano ya kijeshi ya muda mrefu na ya umwagaji damu.
-
Iran: Marekani inafanya hima kurefusha vita vya Ukraine
Jul 09, 2023 10:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria mpango wa Marekani wa kutuma nchini Ukraine mabomu 'yaliyopigwa marufuku ya vishada na kusisitiza kuwa, Washington inafanya kila iwezalo ili kuhakikisha kuwa vita vya Ukraine havimaliziki haraka.
-
Marekani inataka kutuma Ukraine mabomu 'haramu' ya vishada
Jul 07, 2023 03:09Licha ya marufuku ya kimataifa ya matumizi ya mabomu ya vishada, lakini Marekani inatafakari juu ya uwezekano wa kutuma silaha hizo haramu nchini Ukraine.