-
Mkuu wa CIA alifanya safari ya siri Ukraine kabla ya uasi wa Wagner
Jul 01, 2023 10:36Magazeti ya Marekani yameripoti kuwa, Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) alifanya safari ya siri nchini Ukraine, siku chache kabla ya kufanyika uasi wa kundi la Wagner dhidi ya serikali ya Russia mnamo Juni 24.
-
Rais wa Ukraine akataa pendekezo la amani la viongozi wa Afrika
Jun 17, 2023 12:06Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amepuuzilia mbali mapendekezo ya ujumbe wa viongozi wa Afrika ya kufanyika mazungumzo ya kusitisha vita na kutafuta amani ya kudumu katika eneo hilo.
-
Haley: Tunaipa silaha Ukraine ili 'tuzuie' vita, tutoe ujumbe kwa mahasimu wa US
Jun 06, 2023 02:45Nikki Haley mwenye azma ya kuteuliwa na chama cha Republican kuwa mgombea wake wa urais katika ujao nchini Marekani ametoa matamshi ya kujikanyaga akidai kuwa, njia pekee ya kukomesha vita vya Ukraine ni kuendelea mapigano baina ya Russia na Ukraine, na eti kushindwa Kiev katika vita hivyo kutaibua Vita vya Tatu vya Dunia.
-
Uzushi na undumakuwili wa Zelensky dhidi ya Iran
May 29, 2023 01:24Rais wa Ukraine kwa mara nyingine tena ameitaka Iran isiipatie Russia ndege za kivita zisizo na rubani kauli ambayo ameitoa kwa kutegemea madai bandia ambayo yamepingwa mara kadhaa na Iran na pia Ukraine haijaweza kutoa ushahidi wowote wa maana kuhusu madai hayo.
-
Raia milioni 3.5 wa Ukraine wamekimbilia Russia tokea Februari 2022
May 28, 2023 06:35Zaidi ya raia milioni tatu na laki tano wa Ukraine wametorokea nchini Russia tangu operesheni ya kijeshi ya Moscow dhidi ya Kiev ianze mnamo Februari 2022.
-
Russia: Katika masharti yetu ya suluhu ni Ukraine kutokuwa mwanachama wa NATO na EU
May 27, 2023 10:48Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza kuwa kuachana Ukraine na ndoto ya kujiunga na shirika la kijeshi la NATO na Umoja wa Ulaya EU ni miongoni mwa masharti ya Moscow ya kufanya suluhu na nchi hiyo.
-
Kan'ani: Madai ya uongo ya Ukraine yanalenga kuvutia misaada ya silaha na fedha kutoka Magharibi
May 27, 2023 07:17Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai ya chuki yaliyotolewa na Rais wa Ukraine dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa, hatua hiyo ya serikali ya Kiev ya kukariri madai ya uongo inalenga kuvutia misaada zaidi ya silaha na ya kifedha kutoka nchi za Magharibi.
-
Kremlin yajibu vitisho vya Ukraine vya kumuua Rais wa Russia
May 26, 2023 03:19Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia (Kremlin) amesema hatua ya watawala wa Ukraine ya kutishia kumuua kigaidi Rais Vladimir Putin wa Russia imeonyesha dhati ya ugaidi ya viongozi wa Kiev.
-
Gharama za kijeshi za Umoja wa Ulaya zimeongezeka kwa asilimia 30
May 14, 2023 11:35Mkuu wa Sera za Nje za Umoja wa Ulaya Josep Borrell ametangaza kuwa gharama za kijeshi za umoja huo zimeongezeka kwa asilimia 30.
-
Russia: Ukraine imewashambulia raia kwa makombora ya Uingereza
May 14, 2023 01:28Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa jeshi la Ukraine limewashambulia raia kwa kutumia makombora ya Uingereza.