-
Russia: Tunakuchukulia kupata Ukraine ndege za kivita za F-16 kuwa ni kitisho cha nyuklia
Jul 14, 2023 01:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema nchi yake, tofauti na Waanglo-Saxons, imekuwa ikitafuta amani kila wakati na akabainisha: "tunachukulia Ukraine kupata uwezo wa kijeshi kama wa kuwa na ndege za kivita za F-16 kwamba ni tishio la nyuklia kutoka Magharibi".
-
Siku 500 za vita huko Ukraine na mustakbali wake
Jul 10, 2023 09:30Vita vya Ukraine vimepitisha siku 500 tangu kuanza na hakuonekani matarajio ya kumalizika vita hivyo vya umwagaji damu barani Ulaya. Vita hivyo ambavyo awali ilidhaniwa kwamba huwenda vingechukua muda mfupi na kumalizka haraka, sasa vimekuwa mapigano ya kijeshi ya muda mrefu na ya umwagaji damu.
-
Iran: Marekani inafanya hima kurefusha vita vya Ukraine
Jul 09, 2023 07:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria mpango wa Marekani wa kutuma nchini Ukraine mabomu 'yaliyopigwa marufuku ya vishada na kusisitiza kuwa, Washington inafanya kila iwezalo ili kuhakikisha kuwa vita vya Ukraine havimaliziki haraka.
-
Marekani inataka kutuma Ukraine mabomu 'haramu' ya vishada
Jul 06, 2023 23:39Licha ya marufuku ya kimataifa ya matumizi ya mabomu ya vishada, lakini Marekani inatafakari juu ya uwezekano wa kutuma silaha hizo haramu nchini Ukraine.
-
Mkuu wa CIA alifanya safari ya siri Ukraine kabla ya uasi wa Wagner
Jul 01, 2023 07:06Magazeti ya Marekani yameripoti kuwa, Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) alifanya safari ya siri nchini Ukraine, siku chache kabla ya kufanyika uasi wa kundi la Wagner dhidi ya serikali ya Russia mnamo Juni 24.
-
Rais wa Ukraine akataa pendekezo la amani la viongozi wa Afrika
Jun 17, 2023 08:36Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amepuuzilia mbali mapendekezo ya ujumbe wa viongozi wa Afrika ya kufanyika mazungumzo ya kusitisha vita na kutafuta amani ya kudumu katika eneo hilo.
-
Haley: Tunaipa silaha Ukraine ili 'tuzuie' vita, tutoe ujumbe kwa mahasimu wa US
Jun 05, 2023 23:15Nikki Haley mwenye azma ya kuteuliwa na chama cha Republican kuwa mgombea wake wa urais katika ujao nchini Marekani ametoa matamshi ya kujikanyaga akidai kuwa, njia pekee ya kukomesha vita vya Ukraine ni kuendelea mapigano baina ya Russia na Ukraine, na eti kushindwa Kiev katika vita hivyo kutaibua Vita vya Tatu vya Dunia.
-
Uzushi na undumakuwili wa Zelensky dhidi ya Iran
May 28, 2023 21:54Rais wa Ukraine kwa mara nyingine tena ameitaka Iran isiipatie Russia ndege za kivita zisizo na rubani kauli ambayo ameitoa kwa kutegemea madai bandia ambayo yamepingwa mara kadhaa na Iran na pia Ukraine haijaweza kutoa ushahidi wowote wa maana kuhusu madai hayo.
-
Raia milioni 3.5 wa Ukraine wamekimbilia Russia tokea Februari 2022
May 28, 2023 03:05Zaidi ya raia milioni tatu na laki tano wa Ukraine wametorokea nchini Russia tangu operesheni ya kijeshi ya Moscow dhidi ya Kiev ianze mnamo Februari 2022.
-
Russia: Katika masharti yetu ya suluhu ni Ukraine kutokuwa mwanachama wa NATO na EU
May 27, 2023 07:18Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza kuwa kuachana Ukraine na ndoto ya kujiunga na shirika la kijeshi la NATO na Umoja wa Ulaya EU ni miongoni mwa masharti ya Moscow ya kufanya suluhu na nchi hiyo.