Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Hizbullah: Ukraine ilifanya makosa kuitegemea Marekani

    Hizbullah: Ukraine ilifanya makosa kuitegemea Marekani

    Feb 26, 2022 04:18

    Mkuu wa Baraza Kuu la harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema ni makosa kwa baadhi ya nchi kutegemea uungwaji mkono na himaya ya Marekani, na kwamba kadhia ya Ukraine imethibitisha tena ukweli huo.

  • Russia yapiga veto azimio la Baraza la Usalama, Rais wa Ukraine asema jeshi la Russia litaingia Kiev leo

    Russia yapiga veto azimio la Baraza la Usalama, Rais wa Ukraine asema jeshi la Russia litaingia Kiev leo

    Feb 25, 2022 23:58

    Russia imepiga kura ya veto dhidi ya muswada wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa uliolokuwa ukilaani mashambulizi ya kijeshi nchini Ukraine.

  • Umoja wa Afrika wataka kusimamishwa mgogoro wa Ukraine

    Umoja wa Afrika wataka kusimamishwa mgogoro wa Ukraine

    Feb 25, 2022 11:17

    Umoja wa Afrika umetoa mwito wa kusimamishwa haraka iwezekanavyo mgogoro wa Ukraine.

  • Vikwazo vyenye wigo mpana vya Wamagharibi dhidi ya Russia

    Vikwazo vyenye wigo mpana vya Wamagharibi dhidi ya Russia

    Feb 25, 2022 10:03

    Baada ya Russia kuchukua uamuzi wa kuishambuulia kijeshi Ukraine, kambi ya magharibi imeonyesha radiamali katika fremu ya kuiwekea vikwazo Moscow ambapo kabla ya hapo madola hayo yalikuwa yameahidi kuchukua uamuzi huo.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Hatua za kichochezi za NATO zimeifanya hali katika eneo iwe tata

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Hatua za kichochezi za NATO zimeifanya hali katika eneo iwe tata

    Feb 25, 2022 09:39

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehrah amesema, hatua za kichochezi zilizochukuliwa na shirika la kijeshi la NATO kwa uongozi wa Marekani zimetatanisha hali ya mambo katika eneo; na si hasha zikaifanya iwe tata zaidi.

  • Serikali ya Iran: Vita si suluhisho la mgogoro wowote ule

    Serikali ya Iran: Vita si suluhisho la mgogoro wowote ule

    Feb 25, 2022 03:26

    Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vita si suluhisho la tatizo lolote lile. Amesema hayo ikiwa ni kutangaza msimamo wa serikali ya Iran kuhusu vita baina ya Russia na Ukraine huko mashariki mwa Ulaya.

  • Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran: Mgogoro wa Ukraine umesababishwa na uchochezi wa NATO

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran: Mgogoro wa Ukraine umesababishwa na uchochezi wa NATO

    Feb 24, 2022 11:39

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran ametuma ujumbe katika mtandao wa kijamii wa Twitter akisisitiza kuwa chanzo cha mgogoro wa Ukraine ni hatua za kichochezi za Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO).  

  • Oparesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine, sababu na matokeo yake

    Oparesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine, sababu na matokeo yake

    Feb 24, 2022 07:30

    Rais Vladimir Putin wa Russia mapema Alhamisi amehutubia taifa katika televisheni na kutangaza kuwa, vikosi vya nchi yake vimeanza oparesheni maalumu ya kijeshi katika eneo la Donbass ambalo limetangaza kujitenga na Ukraine. Punde baada ya kutangaza oparesheni hiyo ya kijeshi, Putin ametaka kusitishwe 'muundo wa kijeshi' Ukraine na kuitaka nchi hiyo iweke chini silaha zake.

  • Iran: Uingiliaji wa US, NATO umeshadidisha mgogoro wa Ukraine

    Iran: Uingiliaji wa US, NATO umeshadidisha mgogoro wa Ukraine

    Feb 22, 2022 23:12

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali chokochoko za Marekani na shirika la kijeshi la NATO katika mgogoro wa Ukraine na kusisitiza kuwa, uingiliaji huo umeshadidisha taharuki mashariki mwa nchi hiyo jirani na Russia.

  • Putin, Macron na Zelensky wajadili mgogoro wa eneo la mashariki ya Ukraine

    Putin, Macron na Zelensky wajadili mgogoro wa eneo la mashariki ya Ukraine

    Feb 21, 2022 04:35

    Ikulu ya rais wa Ufaransa ya Élysée imetangaza kuwa, baada ya kuzungumza na Rais Vladimir Putin wa Russia, rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron amezungumza kwa njia ya simu pia na mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky kumjulisha kuhusu mazungumzo yao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS