Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Putin asisitiza, Russia haina nia ya kuingia vitani na Ukraine

    Putin asisitiza, Russia haina nia ya kuingia vitani na Ukraine

    Feb 16, 2022 23:18

    Rais Vladimir Putin wa Rassia aliuambia mkutano wa waandishi wa habari siku ya Jumanne baada ya kukutana na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, huko Kremlin kwamba ametoa wito kwa nchi za Magharibi kujiepusha kupeleka silaha za kivita kwenye mipaka ya Russia na kwamba zinapaswa kusitisha upanuzi wa shirika la NATO upande wa Mashariki.

  • Russia: Hatutaki vita barani Ulaya wala Ukraine

    Russia: Hatutaki vita barani Ulaya wala Ukraine

    Feb 16, 2022 03:40

    Rais wa Russia amesema kuwa nchi yake haitaki kutokee vita barani Ulaya wala nchini Ukraine na ni kwa sababu hiyo ndio maana imetoa pendekezo la kudhaminiwa usalama wa eneo hilo.

  • Zelensky adai: Russia itaishambulia Ukraine siku ya Jumatano

    Zelensky adai: Russia itaishambulia Ukraine siku ya Jumatano

    Feb 14, 2022 23:31

    Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amedai kuwa Russia itatekeleza shambulio dhidi ya Kiev siku ya Jumatano.

  • Kuongezeka indhari kuhusu uwezekano wa kutokea vita mashariki mwa Ulaya

    Kuongezeka indhari kuhusu uwezekano wa kutokea vita mashariki mwa Ulaya

    Feb 12, 2022 06:43

    Nchi za Magharibi zinaendelea kutoa tahadhari mbalimbali kuhusu uwezekano wa Russia kuishambulia Ukraine kufuatia kuongezeka mivutano huko Ulaya Mashariki kati ya Moscow na Kiev.

  • Ushirikiano na misimamo ya pamoja ya China na Russia kuhusu Ukraine

    Ushirikiano na misimamo ya pamoja ya China na Russia kuhusu Ukraine

    Feb 06, 2022 01:11

    Wang Yi Waziri wa Mambo ya Nje wa China na mwenzake wa Russia Sergei Lavrov wameratibu misimamo ya nchi mbili huko Beijing kuhusu kadhia kama za Ukraine, Afghanistan na hali ya mambo katika Peninsula ya Korea.

  • Kufichuliwa hitilafu kati ya Berlin na Washington kuhusu Ukraine

    Kufichuliwa hitilafu kati ya Berlin na Washington kuhusu Ukraine

    Jan 29, 2022 23:08

    Gazeti la Ishpigel la nchini Ujerumani limeripoti kuwa Emily Haber Balozi wa Ujerumani mjini Washington ametuma barua ya siri kwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ujerumani akisistiza kuwa Washington inaitambua Ujerumani kama nchi muitifaki asiyeaminika kutokana na kushindwa kutoa ushirikiano unaohitajika kuhusu kadhia ya Ukraine.

  • Vyombo vya habari vya Russia: Marekani na Uingereza zinaiuzia Ukraine silaha zilizochakaa

    Vyombo vya habari vya Russia: Marekani na Uingereza zinaiuzia Ukraine silaha zilizochakaa

    Jan 27, 2022 22:09

    Vyombo vya habari vya Russia vimeripoti kuwa, Marekani na Uingereza zinaiuzia Ukraine silaha na zana za kijeshi zilizochakaa na za zamani sana.

  • Mkutano usio na matunda wa Russia-NATO na kuongezeka kwa mizozo ya pande mbili

    Mkutano usio na matunda wa Russia-NATO na kuongezeka kwa mizozo ya pande mbili

    Jan 14, 2022 21:14

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Alexander Grushko, ameuambia mkutano wa waandishi wa habari mjini Brussels mwishoni mwa mkutano wa Russia na NATO siku ya Jumatano kwamba, hitilafu za pande mbili zilikuwa wazi na kwamba katika kikao hicho kumejitokeza hitilafu nyingi.

  • Ahadi ya Marekani ya kuilinda Ukraine

    Ahadi ya Marekani ya kuilinda Ukraine

    Jan 03, 2022 23:15

    Jumapili iliyopita Rais wa Marekani Joe Biden alizungumza kwa njia ya simu na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelinsky, na kujadili jinsi Marekani na washirika wake watakavyojibu shambulio lolote la kijeshi la Russia dhidi ya nchi hiyo.

  • Onyo la Rais wa Russia la kutoa jibu kijeshi kwa hatua za Marekani barani Ulaya

    Onyo la Rais wa Russia la kutoa jibu kijeshi kwa hatua za Marekani barani Ulaya

    Dec 22, 2021 23:20

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, nchi yake ina haki kamili ya kujihami dhidi ya hatua zisizo za kirafiki za Marekani na akabainisha kwamba Moscow itachukua hatua mwafaka za kijeshi na kiufundi juu ya suala hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS