-
Waziri Mkuu wa Italia: EU isichukue msimamo unaogongana na wa Marekani katika kadhia ya Ukraine
Feb 18, 2025 13:41Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni amesema, Umoja wa Ulaya haupaswi kuchukua msimamo ambao utakinzana na sera ya Marekani kuhusu Ukraine. Hayo ni kwa mujibu wa shirika rasmi la habari la Italia ANSA.
-
NBC: Trump amtaka Zelensky ampatie umiliki wa asilimia 50 wa madini adimu ya Ukraine
Feb 16, 2025 07:59Kwa mujibu wa maafisa wanne wa Marekani, utawala wa Trump umependekeza kwa Ukraine kwamba iwapo nchi hiyo itaipatia Marekani asilimia 50 ya madini yake adimu, iko tayari kutuma wanajeshi wake ili kuilinda Ukraine iwapo itafikia makubaliano na Russia.
-
Moscow: Zelensky 'ana kichaa' kwa kutaka silaha za nyuklia za NATO
Feb 06, 2025 02:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amesema mwito wa Rais wa Ukraine, Vladimir Zelensky wa kutaka Kyev ipewe silaha za nyuklia na shirika la kijeshi la NATO unatia wasiwasi mkubwa.
-
Mbunge wa Ukraine aitaka EU imuue kigaidi Rais Putin
Feb 01, 2025 07:21Mbunge wa Ukraine, Aleksey Goncharenko amewataka wazi wazi wabunge wa Umoja wa Ulaya kuunga mkono wazo la kuuawa Rais wa Russia, Vladimir Putin na kulipigia debe miongoni mwa watu wa kawaida.
-
CNN: Idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa nchini Ukraine inaongezeka
Jan 31, 2025 13:28Televisheni ya CNN ya Marekani imeripoti kuwa idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa kwenye mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine imeongezeka katika kipindi cha miezi 6 iliyopita.
-
Moscow: Marekani inachuma pesa kutokana na vita vya Ukraine
Jan 24, 2025 03:34Msemaji wa Kremlin amekosoa himaya ya kifedha na kisiasa ya Washington kwa serikali ya Kiev na kusema: Marekani inapata pesa kwa kuuza rasilimali zake za nishati za bei ya juu kwa watu wa Ulaya walioathiriwa na vita.
-
Mkuu wa Intelijensia Ufaransa adai Ikhwanul-Muslimin ina lengo la kuasisi 'Khilafa' ya Ulaya
Dec 27, 2024 06:53Mkuu wa Shirika la Intelijensia la Ufaransa amedai kuwa Harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul-Muslimin imekuwa ikipanua ushawishi wake nchini humo, na lengo lake kuu ni kuifanya nchi hiyo kuwa sehemu ya Khilafa inayoendeshwa kwa Sharia za Uislamu.
-
Uturuki yatangaza kufikiwa 'suluhu ya kihistoria' kati ya Ethiopia na Somalia
Dec 12, 2024 10:33Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amempongeza Rais wa Somalia na Waziri Mkuu wa Ethiopia kwa kufikia "suluhu ya kihistoria na kujitolea kwa hali ya juu" katika mazungumzo ya amani baina ya nchi hizo mbili yaliyofanyika mjini Ankara, lengo likiwa ni kumaliza mgogoro wa eneo lililojitenga la Somaliland.
-
Iran yaitaka Ukraine iache kuwaunga mkono na kuwasaidia magaidi eneo la Asia Magharibi
Dec 07, 2024 02:26Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeitaka Ukraine iache kuunga mkono magaidi katika eneo la Asia Magharibi.
-
Al Mayadeen: Wanajeshi wa Ukraine wanashirikiana na magaidi huko Syria
Dec 03, 2024 12:12Duru za habari za Syria zimetangaza kuwa wanajeshi wa Ukraine wanashirikiana na magaidi dhidi ya serikali ya syria.