-
Al Mayadeen: Wanajeshi wa Ukraine wanashirikiana na magaidi huko Syria
Dec 03, 2024 12:12Duru za habari za Syria zimetangaza kuwa wanajeshi wa Ukraine wanashirikiana na magaidi dhidi ya serikali ya syria.
-
Balozi wa Iran UN: Tuhuma za Marekani na Uingereza hazina msingi wowote
Nov 23, 2024 07:21Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha tuhuma dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu zilizotolewa na Marekani na Uingereza za eti kuvuruga amani katika eneo la Asia Magharibi na kuhusika na mapigano yanayoendelea Ukraine; akisisitiza kuwa tuhuma zote hizo hazina msingi wowote.
-
Amri mpya ya Putin na kuongezeka uwezekano wa kutumiwa silaha za nyuklia
Nov 20, 2024 11:23Rais Vladimir Putin wa Russia Jumanne, Novemba 19, alitia saini amri ambayo inaipa Moscow ruhusa ya kutumia silaha za nyuklia dhidi ya "nchi isiyo na silaha za nyuklia" ilimradi nchi hiyo iwe inaungwa mkono na nguvu za nyuklia.
-
Ombi la Antonio Guterres la kuzuia kuongezeka mivutano katika vita vya Ukraine
Nov 19, 2024 07:15Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuzuia kuongezeka mapigano nchini Ukraine.
-
China yaibainishia Marekani mistari yake minne myekundu ambayo haipasi kuvukwa
Nov 18, 2024 02:36Rais Xi Jinping wa China ameweka wazi mistari myekundu minne ambayo amesema haipasi kuvukwa na Marekani ili kuwepo uhusiano wenye usawa na sahihi kati ya nchi hizo mbili.
-
Russia yaitahadharisha Ufaransa kuhusu kutuma makombora Ukraine
Nov 15, 2024 03:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ametahadharisha kuhusu Ufaransa kutuma makombora nchini Ukraine.
-
Kansela wa Ujerumani akiri kuhitilafiana Umoja wa Ulaya kuhusu Ukraine
Nov 11, 2024 02:30Kansela wa Ujerumani amesema kuwa anahitilafiana pakubwa kimitazamo na Waziri Mkuu wa Hungary kuhusu namna ya kushughulikia mgogoro wa Ukraine na kukiri kuwepo hitilafu hizo ndani ya Umoja wa Ulaya kuhusu Ukraine.
-
Erdogan: Marekani haitaki Ukraine iwe mwanachama wa NATO
Sep 27, 2024 03:02Rais wa Uturuki amesema kuwa, ingawaje Marekani ndiye mpinzani mkuu wa Ukraine kujiunga na Shirika la la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), lakini pia nchi nyingi za jumuiya hiyo zinapinga Kyev kupewa uanachama.
-
Putin aamuru mwongozo wa utumiaji silaha za nyuklia wa Russia ufanyiwe mabadiliko
Sep 26, 2024 05:09Rais Vladimir Putin wa Russia ameamuru mwongozo wa utumiaji silaha za nyuklia wa nchi hiyo ufanyiwe mabadiliko akionya pia kuwa nchi yake inaweza kujibu mapigo kwa silaha za nyuklia ikiwa itashambuliwa kwa silaha za kawaida zilizotolewa na dola linalomiliki silaha hizo.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran: Umoja wa Ulaya ujiepushe kuituhumu Iran
Sep 14, 2024 12:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Umoja wa Ulaya unapasa kujiepusha na kutoa tuhuma kwa kutegemea taarifa za uongo.