-
Marekani na Ulaya zashindwa kukabiliana na changamoto za kimataifa
Mar 28, 2025 06:04Mark Rutte, Katibu Mkuu wa NATO amesisitiza juu ya umoja wa pande mbili za Bahari ya Atlantiki na kusema kuwa changamoto za kiusalama duniani ni kubwa kiasi kwamba Ulaya na Marekani pake yazo haziwezi kukabiliana nazo.
-
Upinzani wa serikali ya Trump dhidi ya hatua za Ulaya za kupinga Russia
Mar 26, 2025 02:39Baada ya kuchaguliwa tena kwa mara ya pili Rais Donald Trump wa Marekani sasa amegeukia mazungumzo ya moja kwa moja na Russia nchini Saudi Arabia ili kutimiza ahadi aliyotoa ya kuhitimisha vita huko Ukraine ambapo jumbe za Marekani na Russia tayari zimefanya duru ya pili ya mazungumzo huko Riyadh Saudi Arabia kuhusiana na suala hilo.
-
Peskov: Ulaya inashadidisha mzozo wa Ukraine kwa kuzidisha misaada yake ya kijeshi kwa nchi hiyo
Mar 24, 2025 07:58Msemaji wa ikulu ya Russia (Kremlin) ametangaza kuwa Ulaya inachagiza mzozo wa UKraine kwa kuzidisha misaada ya kijeshi kwa nchi hiyo badala ya kutatua vyanzo vya mzozo huo.
-
EU: Trump ni janga baya zaidi kwa dunia kuliko hata Corona
Mar 18, 2025 02:12Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amesababisha kukosekana utulivu katika ghughuli za kiuchumi na rais huyo ni janga baya zaidi kuliko hata janga la Corona la miaka mitano iliyopita.
-
Baqaei: Jumbe za Marekani zinakinzana
Mar 17, 2025 11:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa jumbe zinazotoka Marekani zinakinzana yaani sambamba na kubainisha kuwa nchi hiyo iko tayari kufanya mazungumzo, wakati huo huo vikwazo vikubwa vinawekwa kwa sekta mbalimbali za kibiashara na uzalishaji za Iran.
-
Rais wa China akataa mwaliko wa EU wa kuhudhuria kikao cha kuadhimisha miaka 50 ya uhusiano
Mar 17, 2025 05:36Rais Xi Jinping wa China amekataa mwaliko wa kuhudhuria kikao kilichopangwa kufanyika mjini Brussels kuadhimisha miaka 50 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi yake na Umoja wa Ulaya.
-
Araqchi: Iran iko tayari kuzungumza na Ulaya katika mazingira ya kuheshimiana
Mar 16, 2025 02:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Tehran iko tayari kuzungumza na nchi za Ulaya katika mazingira ya kuheshimiana na yanayojali maslahi ya pamoja.
-
Faili la nyuklia la Iran: Tehran yawaita mabalozi wa UK, Ufaransa, Ujerumani
Mar 14, 2025 02:31Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewaita mabalozi wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusu jaribio lao la pamoja na Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, dhidi ya mradi wa nyuklia wa Iran wenye malengo ya amani.
-
Trump na kukandamizwa uhuru wa kusema huko Marekani
Mar 08, 2025 04:23Gazeti la Marekani la Washington Post limeandika makala likiashiria amri za utendaji zilizotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, tangu aingie madarakani na kusema: Wakosoaji wanamtuhumu kuwa anakandamiza sana uhuru wa kujieleza na kukiuka Katiba ya Marekani.
-
Hungary: Baadhi ya nchi za Ulaya zinakwamisha kumalizika vita huko Ukraine
Feb 25, 2025 02:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Hungary amesema kuwa "Waliberali wa Ulaya wanaounga mkono vita" wanakwamisha kufanyika mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Russia ili kuhitimisha vita huko Ukraine.