-
Erdogan ataka Waislamu walio wachache Ugiriki waheshimwe
Dec 09, 2017 04:03Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ametoa mwito wa kuheshimwa haki za jamii ya Waislamu walio wachache nchini Ugiriki.
-
Waziri wa Ujerumani: Uhusiano wa Ulaya na Marekani hautorudi tena katika zama za kabla ya Trump
Dec 05, 2017 12:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema, katika zama za urais wa Donald Trump nafasi ya nguvu za kisiasa za Marekani duniani si kama ilivyokuwa huko nyuma.
-
EU na UN zatilia mkazo ulazima wa kufikiwa maeneo yaliyoathiriwa na vita Yemen
Nov 13, 2017 00:48Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya anayehusika na misaada ya kibinadamu amesema kuwa mazingira ya kufikishwa misaada zaidi katika maeneo yaliyoathiriwa na vita huko Yemen yanapasa kuandaliwa kwa kuzingatia hali mbaya inayoisibu nchi hiyo.
-
Wahajiri wa Kiafrika wazidi kufa maji wakielekea Ulaya kutafuta maisha
Nov 07, 2017 04:50Kwa akali wahajiri watano wa Kiafrika wamefariki dunia baada ya boti yao kuzama katika bahari ya Mediterranean, magharibi mwa pwani ya Libya.
-
Akthari ya watu wa bara la Ulaya wanamchukia Trump
Nov 04, 2017 23:41Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa unaonyesha kuwa akthari ya watu katika nchi za Ulaya wanamchukia Rais wa Marekani Donald Trump.
-
Wahajiri 900 waokolewa, 7 wafa maji katika pwani ya Libya
Nov 02, 2017 04:40Miili saba ya wahajiri haramu imepatikana ndani ya boti ya plastiki karibu na pwani ya Libya, huku mamia ya wengine wakiokolewa kusini mwa bahari ya Mediterranean.
-
Kutoridhishwa Ulaya na msimamo wa Trump ulio dhidi ya makubaliano ya JCPOA
Oct 15, 2017 04:45Viongozi wa nchi tatu kubwa za Ulaya yaani Theresa May Waziri Mkuu wa Uingereza, Angela Merkel Kansela wa Ujerumani na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa wameleeza wasiwasi wao kupitia taarifa ya pamoja waliyotoa kuhusu msimamo usiofaa wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu JCPOA. Taarifa ya viongozi hao wa nchi tatu kubwa za Ulaya imetolewa kufuatia matamshi ya Rais wa Marekani kuhusiana na stratejia ya nchi hiyo mkabala na Iran.
-
EU: Marekani itajipotezea itibari kimataifa ikijiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran
Oct 12, 2017 03:35Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya amesema iwapo Marekani itajiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama "Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA), jambo hilo litaipotezea Marekani itibari miongoni mwa nchi zingine duniani.
-
Iraq kuwahukumu wanachama wa ISIS, raia wa Ulaya
Oct 08, 2017 10:42Vyombo vya mahakama nchini Iraq vinatazamiwa kuwatolea hukumu ikiwemo hukumu ya kifo, makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) raia wa nchi za Ulaya.
-
Ongezeko la malalamiko ya Waislamu wa Ulaya juu ya ubaguzi na miamala mibaya
Sep 22, 2017 04:08Matokeo mapya ya uchunguzi wa Shirika la European Union Agency for Fundamental Rights (FRA) unaonyesha kwamba, idadi ya Waislamu ambao wanabaguliwa na kufanyiwa miamala mibaya katika jamii ya Ulaya, imeongezeka sana.