-
Utawala wa Kizayuni wauzuia ujumbe wa bunge la Ulaya kuingia Ghaza
Sep 19, 2017 03:24Utawala wa Kizayuni umekataa kuuruhusu ujumbe wa bunge la Ulaya kulizuru eneo la Ghaza kwa lengo la kuchunguza hali mbaya ya kibinadamu iliyosababishwa katika eneo hilo na mzingiro wa kiuchumi wa utawala huo wa Kizayuni.
-
Ulimwengu wa Spoti, Sep. 18
Sep 18, 2017 01:09Ufuatao ni mkusanyiko wa habari kemkem za spoti ndani ya siku saba zilizopita....
-
Unyanyasaji watoto wakimbizi wa Kiafrika barani Ulaya
Sep 12, 2017 22:04Katika hali ambayo, wimbi la wahajiri wa Kiafrika wanaoelekea barani Ulaya lingali linaendelea kushuhudiwa, ripoti za kimataifa zinaonyesha juu ya kuweko hali mbaya wanayokabiliwa nayo wahajiri hususan watoto wakimbizi wa Kiafrika.
-
Indhari yatolewa kuhusu unyanyasaji wanaofanyiwa watoto wakimbizi wa Kiafrika barani Ulaya
Sep 12, 2017 03:18Taasisi kadhaa mashuhuri za kimataifa zimetangaza kuwa watoto wahajiri wa Kiafrika wanakabiliwa na matatizo makubwa yakiwemo ya kufanyishwa kazi kwa nguvu, kupigwa na kutusiwa na kutumiwa vibaya kijinsia.
-
EU yazitahadharisha nchi wanachama kutokana na mashambulizi ya kigaidi
Sep 07, 2017 10:07Kamishna wa Usalama wa Umoja wa Ulaya, Julian King amezionya nchi wanachama kutokana na wimbi la mashambulizi mapya ya makundi ya kigaidi.
-
Viongozi wa nchi saba za Afrika na Ulaya wachunguza mwenendo wa uhajiri nchini Ufaransa
Aug 28, 2017 23:54Viongozi wa nchi saba za Kiafrika na Ulaya wamekutana nchini Ufaransa kwa ajili ya kuchunguza namna ya kupunguza wimbi la uhajiri kutoka nchi za Afrika kuelekea barani Ulaya.
-
Madhara ya kuenezwa chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya
Aug 28, 2017 11:00Kuongezeka wimbi la vyombo vya habari vinavyoeneza chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya kumewaweka katika wakati mgumu sana Waislamu barani humo kiasi kwamba uchunguzi wa hivi karibuni wa maoni unaonesha kuwa, kati ya kila watu watano wa barani Ulaya, mmoja anachukia kuwa na jirani Muislamu.
-
Makubaliano kuhusu njia za kukabiliana na wahajiri haramu wa Afrika
Jul 25, 2017 22:36Katika kuendelea kukabiliana na wahajiri haramu, wawakilishi wa nchi 10 za Kiafrika, Ulaya na asasi nne za kieneo wamekubaliana kuhusu njia za kukabiliana na wahajiri hao haramu kupitia Bahari ya Mediterania na kuimarisha ushirikiano ili kuwazuia wahajiri hao.
-
Amnesty International: EU inapaswa kubeba jukumu la wahamiaji wa Libya
Jul 06, 2017 23:21Shirika la Msamaha la Kimataifa (Amnesty International) limesema kuwa, Umoja wa Ulaya (EU) unapaswa kubeba lawama za hali mbaya ya wahajiri nchini Libya.
-
Mawaziri wa Ulaya na Afrika wakutana Roma kujadili mgogoro wa wahajiri
Jul 06, 2017 09:30Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje na wa Masuala ya Wahajiri wa nchi za Ulaya na Afrika kimefanyika Roma mji mkuu wa Italia kujadili njia ya kupambamba na mgogoro wa sasa wa wahajiri katika bahari ya Mediterania.