-
Uchunguzi wa kielimu waonyesha uzalishaji elimu barani Afrika uko chini sana
Jun 05, 2017 22:52Uchunguzi mpya uliofanywa na jopo la wahadhiri nchini Ufaransa, umebaini kuwa uzalishaji elimu katika mataifa ya Kiafrika uko katika kiwango cha chini ikilinganishwa na maeneo mengine ya dunia.
-
Kumalizika safari ya rais wa Marekani barani Ulaya bila ya kufikia makubaliano
May 28, 2017 06:05Rais Donald Trump wa Marekani amemaliza safari yake ya mara ya kwanza barani Ulaya tangu aingie madarakani; bila ya kufikia natija iliyotarajiwa.
-
Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binaadamu Ulaya: Haki za binaadamu zilianzia nchini Iran na sio Ulaya
May 27, 2017 23:14Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binaadamu barani Ulaya amesema kuwa, haki za binaadamu zilianzia nchini Iran hususan mji wa Shiraz (kusini wa nchi) uliokuwa mji mkuu wa utamaduni wa dunia.
-
Wahajiri 7 wafa maji, 484 waokolewa katika bahari ya Mediterania
May 14, 2017 03:08Gadi ya Pwani ya Italia imesema wahajiri saba wamepoteza maisha huku wengine zaidi ya 400 wakiokolewa katika bahari ya Mediterania wakijaribu kuelekea barani Ulaya jana Jumamosi.
-
Wahajiri elfu 6 waokolewa katika bahari ya Mediterania ndani ya masaa 48
May 07, 2017 03:08Gadi ya Pwani ya Italia imesema wahajiri elfu 6 wameokolewa katika kipindi cha siku mbili zilizopita katika bahari ya Mediterania wakijaribu kuelekea barani Ulaya.
-
Iran: Katika matukio ya sasa Marekani iko katika nafasi dhaifu
Apr 22, 2017 11:51Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Ali Shamkhani amesema kuwa matukio ya sasa yameifanya Marekani kuwa katika nafasi dhaifu kwa kuwa hii leo nchi za Ulaya hazina tena mapenzi ya kushirikiana na Washington.
-
Wahajiri elfu tatu waokolewa katika pwani ya Libya
Apr 16, 2017 02:48Maelfu ya wahajiri wamenusurika kufa maji baada ya boti zao kuzama katika bahari ya Mediterania, wakiwa katika juhudi za kuelekea barani Ulaya.
-
Ulaya yaongoza kwa mitandao ya picha za kubakwa watoto
Apr 04, 2017 03:07Uchunguzi uliofanyika nchini Uingereza umebaini kuwa, bara la Ulaya limechukua nafasi ya nchi za America ya Kaskazini kama kituo kikuu cha kueneza picha na video za kubakwa na kunajisiwa watoto wadogo.
-
Vyama vya mrengo wa kulia Ulaya na tatizo la kuwakubali wakimbizi
Mar 31, 2017 10:47Kansela Angela Merkel wa Ujerumani katika mkutano na viongozi wa vyama vya mrengo wa kulia barani Ulaya amekiri kuwa bara hilo halijasimamia ipasavyo suala la wakimbizi na wahamiaji.
-
Wahajiri wengine 146 wahofiwa kufa maji wakielekea Ulaya
Mar 29, 2017 22:01Makumi ya wahajiri wanaaminika kuwa wamepoteza maisha baada ya boti yao kuzama katika bahari ya Mediterania.