-
NATO yakiri, usalama wa Ulaya uko mashakamani
Mar 24, 2017 21:54Kamanda wa majeshi ya NATO barani Ulaya, Jenerali Curtis Scaparrotti amekiri kuwa bara hilo sasa limekuwa miongoni mwa maeneo hatari zaidi duniani.
-
Hukumu ya mahakama ya Ulaya dhidi ya vazi la hijabu
Mar 15, 2017 03:27Mahakama ya Haki ya Ulaya (ECJ) yenye makao yake huko Luxembourg jana Jumanne ilipasisha marufuku ya vazi la staha la mwanamke wa Kiislamu, hijabu.
-
Mgomo wafuta mamia ya safari za ndege barani Ulaya
Mar 06, 2017 11:10Mgomo wa wafanyakazi katika viwanja vya ndege na mashirika ya ndege barani Ulaya umepelekea kufutwa mamia ya safari barani humo, hatua ambayo imesababisha usumbufu mkubwa kwa wasafiri.
-
Zarif: Iran ni mshirika wa uhakika wa kibiashara kwa ajili ya Ulaya
Feb 21, 2017 04:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran ni mshirika wa uhakika wa kibiashara kwa ajili ya Ulaya.
-
Maandamano makubwa ya kuwaunga mkono wahajiri yafanyika Uhispania
Feb 19, 2017 04:10Katika hali ambayo Rais Donald Trump wa Marekani anatazamiwa wiki ijayo kutangaza 'sheria kali zaidi' za kudhibiti wahajiri na raia wa nchi saba za Kiislamu, mamia ya maelfu ya wananchi wamefanya maandamano Uhispania kuonyesha uungaji mkono wao kwa wajahiri.
-
Kupinga Libya suala la kupatiwa makazi wahajiri katika ardhi ya nchi hiyo
Feb 07, 2017 09:37Katika hali ambayo, Libya ingali inakabiliwa na changamoto kubwa za kisiasa na kiuchumi, suala la wahajiri wanaoelekea Ulaya kupitia nchi hiyo nalo limegeuka na kuwa tatizo jingine kubwa kwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Jumuiya ya Wanachuo Ulaya
Jan 20, 2017 04:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe kwa jumuiya za Kiislamu za wanafunzi wa vyuo vikuu barani Ulaya na kusema: "Ni jukumu la kila mtu kupeperusha bendera ya Uislamu halisi katika vita visivyo na usawa vya makabiliano na mrengo wa kufru na uistikbari."
-
UNICEF: Maelfu ya watoto wakimbizi Waafrika wameingia Ulaya
Jan 14, 2017 03:38Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema watoto wapatao 25,800 waliwasili nchini Italia mwaka 2016 wakiwa peke yao kwa lengo la kusaka hifadhi barani Ulaya.
-
UN: Wajiri elfu tano wamekufa maji wakieleka Ulaya mwaka huu 2016
Dec 23, 2016 12:53Shirika la Kimataifa la Uhajiri (IOM) limesema wakimbizi na wahajiri wapatao 5,000 wamepoteza maisha mwaka huu wa 2016 wakijaribu kuingia barani Ulaya kupitia Bahari ya Mediterranea.
-
Kuzidi kunyanyaswa wakimbizi barani Ulaya na Marekani
Dec 19, 2016 07:44Vitendo vya unyanyasaji dhidi ya wageni na wakimbizi vimeshika kasi katika nchi za Ulaya na Marekani kufuatia nchi hizo kuweka sheria kali za kuwadhibiti wahamiaji na wakimbizi wanaokimbilia nchi hizo.