Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulaya

  • Wahajiri zaidi ya 200 waokolewa katika bahari ya Mediterania

    Wahajiri zaidi ya 200 waokolewa katika bahari ya Mediterania

    Dec 03, 2016 23:46

    Wahajiri zaidi ya 200 wamenusurika kufa maji baada ya kuokolewa katika bahari ya Mediterania.

  • Wahajiri 1,400 waokolewa Bahari ya Mediterranea wakielekea Ulaya

    Wahajiri 1,400 waokolewa Bahari ya Mediterranea wakielekea Ulaya

    Nov 23, 2016 04:42

    Wahajiri 1,400 aghalabu kutoka kaskazini mwa Afrika, wameokolewa baada ya boti zao kuzama katika Bahari ya Mediterranea wakielekea barani Ulaya.

  • Wahajiri wa Kiafrika wazidi kufa maji wakielekea Ulaya

    Wahajiri wa Kiafrika wazidi kufa maji wakielekea Ulaya

    Nov 18, 2016 04:12

    Makumi ya wahajiri wamefariki dunia na wengine wengi kutoweka baada ya boti yao kuzama katika bahari ya Mediterenia wakielekea barani Ulaya jana Alkhamisi.

  • Ujerumani kuwakamata wahamiaji baharini na kuwarejesha Afrika

    Ujerumani kuwakamata wahamiaji baharini na kuwarejesha Afrika

    Nov 06, 2016 10:53

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani imetoa pendekezo la kuwakamata wahamiaji Waafrika katika Bahari ya Mediterranean na kuwarejesha Afrika kabla hawajafika Ulaya.

  • Mogherini: Ni haki ya watu wa Ulaya kuisusia Israel

    Mogherini: Ni haki ya watu wa Ulaya kuisusia Israel

    Nov 04, 2016 00:19

    Mkuu wa Siasa za Nje za Umoja wa Ulaya amesema kuwa ni haki ya watu wa nchi za bara hilo kuisusia Israel.

  • Bulgaria yapiga marufuku vazi la burqa kote nchini

    Bulgaria yapiga marufuku vazi la burqa kote nchini

    Oct 01, 2016 04:31

    Sasa ni rasmi kuwa Bulgaria imejiunga na baadhi ya nchi za Magharibi zilizopiga marufuku vazi la burqa, baada ya bunge la nchi hiyo kupasisha sheria inayopiga marufuku vazi hilo linalovaliwa na wanawake Waislamu nchini kote.

  • Udiplomasia wa Rais Rouhani mjini New York;  ulazima wa kutekeleza kikamlifu mapatano ya nyukli

    Udiplomasia wa Rais Rouhani mjini New York; ulazima wa kutekeleza kikamlifu mapatano ya nyukli

    Sep 22, 2016 03:55

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika masaa yake ya awali akiwa mjini New York kwa ajili ya kuhutubu katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja za Mataifa, ametumia fursa hiyo kuzungumza na baadhi ya viongozi wa nchi za Ulaya.

  • Klabu Bingwa Barani Ulaya yaanza kutimua vumbi kwa kishindo

    Klabu Bingwa Barani Ulaya yaanza kutimua vumbi kwa kishindo

    Sep 14, 2016 03:36

    Ligi ya klabu bingwa barani Ulaya imeanza usiku wa kuamkia leo, ambapo jumla ya michezo saba kwenye makundi matano ilipigwa kwenye viwanja tofauti. Kundi A Basel ya nchini Uswiz ilitoshana nguvu kwa kutoka suluhu ya 1-1 dhidi ya Ludogorets Razgrad ya nchini Bulgaria.

  • Umoja wa Ulaya wazitaka pande hasimu Gabon kuvumiliana

    Umoja wa Ulaya wazitaka pande hasimu Gabon kuvumiliana

    Sep 01, 2016 23:44

    Umoja wa Ulaya umeitaka serikali na wapinzani nchini Gabon kuvumiliana na kudumisha amani.

  • McKinney: Israel inahusika na mashambulizi ya kigaidi Ulaya

    McKinney: Israel inahusika na mashambulizi ya kigaidi Ulaya

    Jul 25, 2016 12:36

    Mbunge wa zamani katika Kongresi ya Marekani amefichua nafasi ya utawala wa kizayuni wa Israel katika mashambulizi ya kigaidi yanayofanyika barani Ulaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS