-
Frontex: Wakimbizi wanazidi kumiminika Ulaya kupitia Misri
Jun 28, 2016 23:57Shirika la Frontex limeripoti kuwa, lina wasiwasi kuhusu ongezeko kubwa la wakimbizi kuingia barani Ulaya kwa kupitia Misri na kwamba wakimbizi hao wanakabiliwa na hatari ya kifo baharini.
-
Kuongezwa nguvu za kijeshi za Umoja wa Ulaya nchini Libya
Jun 20, 2016 10:02Umoja wa Ulaya umeamua kuongeza nguvu zake za kijeshi katika opereseheni zake za baharini maarufu kwa jina la Operesheni Sophia, nchini Libya.
-
Niger yasema wahajiri 34 wameaga dunia wakielekea Ulaya
Jun 16, 2016 11:00Serikali ya Niger imesema wahajiri 34 raia wa nchi kadhaa za Afrika wakiwemo watoto wadogo 20 wameaga dunia katika jangwa la nchi hiyo baada ya kutelekezwa na mtu aliyekuwa akiwapeleka barani Ulaya.
-
UN yakosoa kuzuiliwa wakimbizi katika nchi za Ulaya
Jun 13, 2016 11:05Umoja wa Mataifa umeelezea wasi wasi kuhusu habari za kuzuiliwa wakimbizi wakiwemo watoto wadodo katika mazingira ya kutisha barani Ulaya.
-
Ulaya yatofautiana na Marekani kuhusu kuwekewa vikwazo DRC
Jun 07, 2016 03:30Nchi za bara Ulaya zimetilia shaka hatua ya Marekani kushinikiza kuwekewa vikwazo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa lengo la kumtaka Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo asigombee urais kwa muhula wa tatu.
-
Dawa zilizopitwa na wakati kutoka Ulaya zahangaisha Waafrika
Jun 06, 2016 23:23Asilimia 42 ya dawa zilizopigwa marufuku katika masoko ya bara Ulaya tangu mwaka 2012, zinauzwa katika nchi za bara Afrika.
-
UNHCR: Wakimbizi 2,500 wamezama mwaka huu wakielekea Ulaya
May 31, 2016 11:03Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limetangaza kuwa wakimbizi wasiopungua 2,500 wamefariki dunia mwaka huu wakiwa katika safari ya hatari ya kuelekea barani Ulaya.
-
Wahajiri 700 wafa maji pwani ya Libya wakielekea Ulaya
May 29, 2016 09:34Mamia ya wahajiri wamepoteza maisha baada ya boti zao kuzama katika pwani ya Libya katika muda wa siku chache zilizopita.
-
Kongo Brazzaville kuimarisha uhusiano na marafiki zake
May 15, 2016 02:19Jamhuri ya Kongo Brazzaville imesema kuwa, itaendelea kuwa na uhusiano mzuri na marafiki zake, na kwamba mashinikizo ya kigeni hayataifanya nchi hiyo iwasahau marafiki zake.
-
Ziara ya mabalozi wa Ulaya nchini Libya
Apr 15, 2016 09:34Mabalozi wa nchi za Ufaransa, Uhispania na Uingereza wameelekea nchini Libya kama njia ya kutangaza uungaji mkono wao kwa serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo.