Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ulimwengu wa Kiislamu

  • Palestina, Mhimili wa Umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Palestina, Mhimili wa Umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Oct 11, 2023 11:54

    Karibuni kutegea sikio kipindi cha juma hili cha Makala ya Wiki ambacho kitazungumzia Palestina kama mhimili wa umoja baina ya Waislamu wote.

  • Hafla kubwa kabisa ya Qur'ani ya Wanawake wa Ulimwengu wa Kiislamu yafanyika nchini Iran

    Hafla kubwa kabisa ya Qur'ani ya Wanawake wa Ulimwengu wa Kiislamu yafanyika nchini Iran

    Apr 21, 2023 01:40

    Hafla kubwa zaidi ya Qur'ani ya wanawake wa Ulimwengu wa Kiislamu iliyoandaliwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanyika mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na wake wa mabalozi na wanawake wanaharakati katika uga wa Qur'ani.

  • Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds kufanyia Aprili 14

    Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds kufanyia Aprili 14

    Apr 05, 2023 02:37

    Mwenyekiti wa Makao Makuu ya Intifadha na Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Iran amesema nara na kaulimbiu ya Siku ya Kimataifa Quds mwaka huu ni: "Palestina ni Mhimili wa Umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu, na Quds (Jerusalem) Inakaribia Kukombolewa."

  • Iran: Ulimwengu wa Kiislamu unakabiliwa na ugaidi wa vyombo vya habari

    Iran: Ulimwengu wa Kiislamu unakabiliwa na ugaidi wa vyombo vya habari

    Oct 23, 2022 12:50

    Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran amesema, vyombo vya habari vyenye uadui vinapindua ukweli na kuandaa habari bandia ili kujaribu kutoa taswira isiyo sahihi kuhusu Iran ya Kiislamu na Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Kiongozi Muadhamu: Inatarajiwa ulimwengu wa Kiarabu utaingia medani ya kisiasa kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni

    Kiongozi Muadhamu: Inatarajiwa ulimwengu wa Kiarabu utaingia medani ya kisiasa kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni

    May 13, 2022 03:46

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema dhulma ya miongo kadhaa ya utawala khabithi wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina ni ukweli mchungu wa historia na pigo kwa ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu na kuongeza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inataraji kwamba ulimwengu wa Kiarabu utaingia wazi wazi katika medani ya kisiasa kukabiliana na jinai hizo.

  • Khatibzadeh: Iran itaendelea kuwa sauti ya ulimwengu wa Kiislamu

    Khatibzadeh: Iran itaendelea kuwa sauti ya ulimwengu wa Kiislamu

    Mar 22, 2022 06:31

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imejitolea kwa dhati kuendelea kupaza sauti ya ulimwengu wa Kiislamu na mataifa yanayodhulumiwa duniani.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Iran ni miongoni mwa walinzi wa amani ya eneo na Ulimwengu wa Kiislamu

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Iran ni miongoni mwa walinzi wa amani ya eneo na Ulimwengu wa Kiislamu

    Feb 18, 2022 12:31

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni miongoni mwa nchi chache zenye nguvu za kiulinzi za kudhamini amani na usalama wa eneo na wa Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Mapinduzi ya Kiislamu; ustaarabu mpya wa Kiislamu (2)

    Mapinduzi ya Kiislamu; ustaarabu mpya wa Kiislamu (2)

    Jan 31, 2022 10:42

    Taarifa ya 'Hatua (marhala) ya Pili ya Mapinduzi' ulikuwa ujumbe mpya ulioelekezwa kwa taifa la Iran na hasa kwa tabaka la vijana wa nchi hii, ambao ndio nguzo kuu ya "hatua ya pili ya kujijenga, kuzingatia jamii na ustaarabu." Moja ya mahitaji ya ustaarabu mpya wa Kiislamu ni kuwa na uelewa wa juu zaidi na kudumisha umoja na mshikamano.

  • Viongozi wa Kiislamu Uganda waunga mkono serikali kuhusu mwaka mpya + Sauti

    Viongozi wa Kiislamu Uganda waunga mkono serikali kuhusu mwaka mpya + Sauti

    Jan 02, 2022 06:52

    Serikali ya Uganda imepiga marufuku mijumuiko ya kusherehekea mwaka mpya ili kuzuia maambukizi ya Corona hatua ambayo imeungwa mkono na viongozi wa Kiislamu

  • Mchango wa Maulamaa wa Kishia (19) +SAUTI

    Mchango wa Maulamaa wa Kishia (19) +SAUTI

    Feb 09, 2021 18:43

    Ahlan Wasahlan wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu, ambacho huwatambulisha na kuwazungumzia Maulamaa wakubwa wa Kishia, mchango wao katika Uislamu pamoja na vitabu na athari zao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS