Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulimwengu wa Michezo

  • Viongozi wa nchi, nyota wa soka walaani ubaguzi wa rangi aliofanyiwa Vinícius Júnior Uhispania

    Viongozi wa nchi, nyota wa soka walaani ubaguzi wa rangi aliofanyiwa Vinícius Júnior Uhispania

    May 23, 2023 09:36

    Matusi ya ubaguzi wa rangi yaliyotolewa dhidi ya mwanasoka wa Brazil Vinícius Júnior katika ligi ya soka ya Uhispania yamekosolewa na kulaaniwa vikali na viongozi wa nchi, makocha na nyota mbalimbali wa mchezo huo unaopendwa zaidi duniani kote.

  • Manchester City yaigaragaza Real Madrid na kupiga hodi fainali Klabu Bingwa Ulaya

    Manchester City yaigaragaza Real Madrid na kupiga hodi fainali Klabu Bingwa Ulaya

    May 18, 2023 07:32

    Timu ya soka ya Manchester City ya Uingerezi imefanya vyema kwa kiwango cha hali ya juu na kuwazidi nguvu mabingwa Real Madrid ya Uhispania katika mchezo wa marudio wa nusu ya Klabu Bingwa barani Ulaya.

  • Yanga yapaisha soka la Tanzania Afrika baada ya kutinga fainali

    Yanga yapaisha soka la Tanzania Afrika baada ya kutinga fainali

    May 18, 2023 07:04

    Baada ya miongo mitatu, klabu ya Yanga imekuwa timu ya kwanza kutoka Tanzania kutinga fainali ya mashindano makubwa ya vilabu barani Afrika.

  • Sadio Mane akabiliwa na adhabu baada ya kumtandika ngumi mchezaji mwenzake

    Sadio Mane akabiliwa na adhabu baada ya kumtandika ngumi mchezaji mwenzake

    Apr 13, 2023 12:30

    Bayern Munich imemsimamisha mshambuliaji Sadio Mane raia wa Senegal baada ya kumpiga usoni mchezaji mwenza Leroy Sane kufuatia kichapo cha Jumanne cha Ligi ya Mabingwa dhidi ya Manchester City.

  • Watu wenye silaha watishia kumuua nyota wa soka duniani Lionel Messi

    Watu wenye silaha watishia kumuua nyota wa soka duniani Lionel Messi

    Mar 03, 2023 03:31

    Watu wawili wenye silaha wamefyatua risasi zisizopungua kumi na kuacha ujumbe wa vitisho kwa nyota wa soka wa Argentina Lionel Messi katika uvamizi wa duka kubwa linalomilikiwa na wakwe zake mjini Rosario, Argentina. Maafisa wa vyombo vya mahakama wa mji huo wamelielezea tukio hilo lililotokea Alkhamisi asubuhi kuwa ni la kigaidi.

  • Mwanasoka wa Ghana ni miongoni mwa waliofariki katika mitetemeko ya ardhi Uturuki

    Mwanasoka wa Ghana ni miongoni mwa waliofariki katika mitetemeko ya ardhi Uturuki

    Feb 19, 2023 03:00

    Mwanasoka mashuhuri wa Ghana Christian Atsu ni miongoni mwa makumi ya maelfu ya watu waliofariki kufuatia mitetemeko miwili mikubwa ya ardhi nchini Uturuki.

  • Refa aweka historia kwa kutoa 'kadi nyeupe' katika mechi ya soka ya ligi ya Ureno

    Refa aweka historia kwa kutoa 'kadi nyeupe' katika mechi ya soka ya ligi ya Ureno

    Jan 23, 2023 09:39

    Historia ya soka iliwekwa siku ya Jumamosi, wakati kadi nyeupe, ambayo inatumika kuthamini moyo wa kimichezo ilipoonyeshwa kwa mara ya kwanza katika mechi ya ligi nchini Ureno.

  • Iran na Zimbabwe zaazimia kupanua ushirikiano wa kimichezo

    Iran na Zimbabwe zaazimia kupanua ushirikiano wa kimichezo

    Jan 16, 2023 09:02

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe zimeazimia kupanua zaidi ushirikiano wao katikka nyanja mbalimbalii ukiwemo uga wa michezo.

  • Mjukuu wa Mandela atumia mashindano ya CHAN kutangaza kupigania ukombozi wa Palestina

    Mjukuu wa Mandela atumia mashindano ya CHAN kutangaza kupigania ukombozi wa Palestina

    Jan 16, 2023 02:25

    Mjukuu wa shujaa wa ukombozi, Nelson Mandela amesisitizia ulazima wa kupigania ukombozi wa Palestina na kupaza sauti za kuungwa mkono taifa hilo madhlumu.

  • Baada ya Kombe la Dunia, wito wa kukombolewa Palestina sasa wasikika katika michuano ya CHAN

    Baada ya Kombe la Dunia, wito wa kukombolewa Palestina sasa wasikika katika michuano ya CHAN

    Jan 14, 2023 09:32

    Duru ya saba ya mashindano ya soka ya Mataifa ya Afrika (CHAN) kwa wachezaji wa ligi za ndani barani humo yalifungua pazia lake jana Ijumaa kwa mchuano baina ya wenyeji Algeria na Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS