-
Rais wa Iran asisitiza juu ya Waislamu kuwa macho na Ubeberu na Uzayuni
Dec 06, 2017 22:13Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa Waiskamu kuwa macho na njama za maadui.
-
Tehran mwenyeji wa Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu
Dec 05, 2017 04:38Duru ya 31 ya Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu imeng'oa nanga hii leo hapa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran.
-
Umoja kwa mtazamo wa Imam Khomeini na Kiongozi Muadhamu
Dec 04, 2017 13:32Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu na maadhimisho ya Wiki ya Umoja.
-
Kipindi maalumu cha Milaad an-Nabi SAW
Dec 04, 2017 08:33Hizi ni siku za kusherehekea uzawa wa Bwana Mtume Muhammad al-Mustafa (saw). Huku tukikupeni mkono wa pongezi, fanaka na heri kwa mnasaba wa kuwadia siku hizi adhimu na za furaha kubwa, tunakuombeni mujiunge nasi ili tupate kusikiliza kwa pamoja kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba huu, karibuni.
-
Aal Saud; Mzusha Mifarakano na Kizuizi cha Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 04, 2017 06:23Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Kiislamu ambacho maudhui yake inasema: "Aal Saud, mzusha mifarakano na kizuizi cha umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu". Endeleeni basi kunitegea sikio kuanzia awali hadi tamati ya kipindi hiki.
-
Velayati: Umoja na mshikamano wa kukabiliana na uzushaji mifarakano ndilo hitajio la Ulimwengu wa Kiislamu leo hii
Dec 02, 2017 11:35Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema: Umoja na mshikamano wa kukabiliana na uzushaji mifarakano ndilo hitajio la Ulimwengu wa Kiislamu leo hii.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Umma wa Kiislamu ukabiliane kwa nguvu na maadui
Dec 01, 2017 12:12Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ametoa salamu za kheri na fanaka kwa mnasaba wa kuwadia Maulid ya Mtume Muhammad SAW na Wiki ya Umoja wa Kiislamu na kuongeza kuwa: "Waislamu wa madhehebu ya Kisunni na Kishia, wanapaswa kuungana na kuwa na mshikamano na wasimame kidete kupambana na adui wao wa pamoja katika ulimwengu wa Kiislamu."
-
Kongamano la Umoja wa Kiislamu ni nembo ya Umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 01, 2017 12:03Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema, kongamano la kila mwaka la Umoja wa Kiislamu ni nembo ya umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Umuhimu wa mkutano wa pili wa kimataifa wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama mjini Beirut
Nov 02, 2017 00:39Mkutano wa pili wa kimataifa wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama ulianza hapo jana Jumatano katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut kwa kaulimbiu ya "Umoja kwa ajili ya Palestina-Israel inaelekea kutoweka".
-
Siku ya Kimataifa ya Quds, fursa ya kuimarisha umoja wa ulimwengu wa Kiislamu
Jun 23, 2017 03:52Makundi ya Kipalestina yameitaja Siku ya Kimataifa ya Quds kuwa ni fursa kwa ajili ya kukabiliana na hatari zinazoukabili mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds na kuimarisha umoja wa ulimwengu wa Kiarabu na Kiislamu kupitia muqawama na mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni.