-
Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu (4)
Mar 12, 2017 13:02Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yenu wapenzi wasikilizaji. Karibuni kusikiliza kipindi hiki kinachozungumzia suala muhimu na la msingi, la umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu. Suala ambalo kutokana na kipindi ambacho Ulimwengu wa Kiislamu unakipitia hivi sasa, umuhimu wake unahisika zaidi wakati huu, pengine kuliko wakati mwengine wowote ule. Endeleeni basi kuwa pamoja nami kuanzia awali hadi tamati ya mfululizo huu, hii ikiwa ni sehemu yake ya nne.
-
Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu (3)
Mar 12, 2017 12:59Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yenu wapenzi wasikilizaji. Karibuni kusikiliza kipindi hiki kinachozungumzia suala muhimu na la msingi, la umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu. Suala ambalo kutokana na kipindi ambacho Ulimwengu wa Kiislamu unakipitia hivi sasa, umuhimu wake unahisika zaidi wakati huu, pengine kuliko wakati mwengine wowote ule. Endeleeni basi kuwa pamoja nami kuanzia awali hadi tamati ya mfululizo huu, hii ikiwa ni sehemu yake ya tatu.
-
Palestina; kadhia ya umoja na kipaumbele cha awali cha Ulimwengu wa Kiislamu
Feb 22, 2017 04:34Msemaji wa Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa kuunga Mkono Intifadha ya Palestina amesema kuwa ujumbe mkuu wa kufanyika mkutano huo hapa Tehran ni kudhihirisha suala la Palestina kama kadhia ya awali inayouhusu Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu (2)
Feb 21, 2017 04:57Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yenu wapenzi wasikilizaji. Karibuni kusikiliza kipindi hiki kinachozungumzia suala muhimu na la msingi, la umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Mapenzi kwa Ahlul Bayt AS, chimbuko la Umoja wa umma wa Kiislamu
Feb 16, 2017 00:37Ayatulla Mohsen Araki, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu amesema, mapenzi kwa Ahlul Bayt wa Mtume Muhammad SAW ni chimbuko la umoja wa umma wa Kiislamu.
-
Umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu (1)
Feb 07, 2017 07:24Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yenu wapenzi wasikilizaji. Karibuni kusikiliza kipindi hiki kinachozungumzia suala muhimu na la msingi, la umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu. Endeleeni kuwa nami kuanzia awali hadi tamati ya mfululizo huu, hii ikiwa ni sehemu yake ya kwanza.
-
Mottaki: Umoja wa Waislamu unawatia kiwewe maadui
Jan 07, 2017 03:47Naibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kuyakurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu katika masuala ya Iran amesema umoja na mshikamano wa Waislamu umewakosesha usingizi maadui wa dini hii tukufu.
-
Ayatullah Subhani asisitiza umoja wa Waislamu ili kung'oa mizizi ya utakfiri
Dec 19, 2016 11:16Mmoja wa marajii taqlidi katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran amesisitiza juu ya udharura wa kuungana na kuwa kitu kimoja maulamaa wa Ulimwengu wa Kiislamu ili kutokomeza mizizi ya matakfiri duniani.
-
Mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza leo mjini Tehran
Dec 15, 2016 01:59Duru ya 31 ya mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na shakhsia, wanazuoni na wanafikra kutoka nchi mbalimbali duniani.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran
Dec 14, 2016 00:55Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema mkutano wa kimataifa wa kila mwaka wa Umoja wa Kiislamu utafanyika wiki hii mjini Tehran.