-
UN: Ndege za Marekani na washirika wake zinaua idadi kubwa ya raia Syria
Aug 31, 2017 22:58Mratibu wa Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesema kuwa, idadi kubwa ya raia wanaouawa katika mashambulizi ya anga ya Marekani na washirika wake huko Raqqa nchini Syria inatia wasiwasi.
-
UN yaitaka Israel iondoe mzingiro wa kibaguzi Ukanda wa Gaza
Aug 30, 2017 10:55Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mzingiro wa kibaguzi wa karibu muongo mmoja dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Hamas yautaka Umoja wa Mataifa uchukue hatua za kuhitimisha mzingiro wa Gaza
Aug 30, 2017 03:25Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeutaka Umoja wa Mataifa uchukue hatua za kuhitimisha mzingiro wa kidhulma dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza.
-
Mgogoro wa kisiasa nchini Sudan Kusini na kuendelea mapigano
Aug 28, 2017 02:47Mgogoro wa kisiasa na mapigano katika nchi ya Sudan Kusini yanaendelea katika hali ambayo, kwa akali watu 40 wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano mapya yaliyotokea kati ya jeshi la nchi hiyo na waasi katika jimbo la Yei.
-
Katibu Mkuu wa UN aitaka Saudia iruhusu kufikishwa misaada ya kibinadamu kwa raia wa Yemen
Aug 27, 2017 23:28Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa pande zote zinazopigana nchini Yemen ukiwemo utawala vamizi wa Saudi Arabia ziruhusu kuingizwa misaada ya kibinadamu katika nchi hiyo masikini ya Kiarabu huku moto wa vita uliowashwa na Saudia ukiendelea kuteketeza roho za raia wakiwemo wanawake na watoto.
-
UN: Watu milioni 3.8 wamefurushwa makwao kutokana na machafuko DRC
Aug 27, 2017 03:06Umoja wa Mataifa umesema idadi ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo waliolazimika kuwa wakimbizi kutokana na machafuko na mapigano nchini humo imeongezeka maradufu.
-
Ndege za kivita za Saudia zimeua raia 56 Yemen katika wiki moja
Aug 26, 2017 02:23Hujuma za ndege za kivita za Saudia zimeua raia zaidi ya 56 kote Yemen wakiwemo wanawake na watoto katika kipindi cha wiki moja iliyopita.
-
Ansarullah: Wananchi wa Yemen hawana imani na Umoja wa Mataifa
Aug 25, 2017 23:25Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameukosoa utendaji wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Saud na kusisitiza kuwa wananchi wa Yemen hawana imani na umoja huo.
-
Baraza la Usalama laitaka Sudan Kusini iache kukwamisha shughuli za kikosi cha UN
Aug 25, 2017 09:15Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeitaka serikali ya Sudan Kusini iache kukwamisha shughuli za kikosi cha askari wa kofia buluu wa Umoja wa Mataifa walioko katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
Wahanga wa mashambulizi ya Boko Haram waongezeka nchini Niger
Aug 24, 2017 23:51Ofisi ya Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, tangu yalipoanza mashambulizi ya kwanza ya genge la kigaidi la Boko Haram nchini Niger mwezi Februari 2015, karibu watu 540 imma wameuawa au kujeruhiwa au kutekwa nyara na kundi hilo la wakufurishaji.