-
UN: Inahitajika zaidi ya nusu karne kuufufua uchumi wa Syria urejee kwenye hali ya kabla ya vita
Feb 21, 2025 23:32Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa Syria inahitaji muda wa zaidi ya nusu karne ili kurejea kwenye hali yake ya uchumi ya kabla ya vita angamizi vya ndani ya nchi hiyo.
-
UN yalaani mashambulizi ya Israel katika Ukingo wa Magharibi
Feb 16, 2025 04:22Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (OHCHR) imelaani mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Israel katika eneo la Ukingo wa Magharibi na kuutaka utawala huo kusitisha mara moja "wimbi la tahadhari ya machafuko na ukimbizi wa umati'' kwa raia wa Palestina.
-
Iran yamweleza Guterres: UN ichukue msimamo thabiti kuhusu njama ya Trump dhidi ya Palestina
Feb 10, 2025 23:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi amesema Umoja wa Mataifa, hasa Baraza lake la Usalama, lazima uchukue msimamo "imara na wa wazi" dhidi ya mpango wa Marekani na Israel unaolenga kuwaondoa kwa nguvu Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza.
-
WHO yajibu tuhuma za US: Hatuegemei upande wa nchi yoyote mwanachama, tunazingatia sayansi
Feb 04, 2025 07:02Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesisitiza kuwa shirika hilo haliegemei upande wa nchi yoyote mwanachama na kwamba limeanzishwa kwa ajili ya kuhudumia nchi zote na watu wote.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kutiwa mbaroni Benjamin Netanyahu
Jan 14, 2025 06:58Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Francesca Albanese ametoa wito wa kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo atazuru Poland, na kusema kuwa Warsaw lazima ifuate kanuni za haki za kimataifa.
-
Ripota Maalumu wa UN: Poland inapaswa kumkamata Netanyahu
Jan 11, 2025 03:12Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Francesca Albanese ametoa wito wa kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo atazuru Poland, na kusema kuwa Warsaw lazima ifuate kanuni za haki za kimataifa.
-
UN yatiwa wasiwasi na hali ya kiafya na kimatibabu ya Ukanda wa Gaza
Jan 03, 2025 08:34Wataalamu hao wa Umoja wa Mataifa wataka kukomeshwa upuuaji wa waziwazi' haki ya haki ya kiafya huko Gaza baada ya utawala wa Kizayuni wiki iliyopita kuishambulia Hospitali ya Kamal Adwan katika eneo hilo na kumtia nguvuni kihilela na kumuweka kizuizini Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dakta Hussam Abu Safiya.
-
Katika salamu za mwaka mpya, Katibu Mkuu wa UN asema: Tunaweza kuifanya 2025 kuwa mwanzo mpya
Dec 31, 2024 00:07Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, ilikuwa vigumu sana kupata matumaini mwaka 2024, lakini akaongeza kuwa, tunaweza kuugeuza mwaka 2025 kuwa mwanzo mpya si wa ulimwengu usio na usawa na uliogawanyika, lakini ulimwengu ambao ndani yake mataifa yameungana pamoja.
-
Afghanistan: Pakistan imefanya mashambulio ya anga, yameua na kujeruhi raia wengi wakiwemo watoto
Dec 25, 2024 03:23Afghanistan imetangaza kuwa jeshi la Pakistan limefanya mashambulizi ya anga katika jimbo la Paktika mashariki, na kuua na kuwajeruhi raia kadhaa, "wengi wao wakiwa wakimbizi kutoka Waziristan."
-
Afisa wa UN: Ni vigumu kupeleka misaada Gaza
Dec 25, 2024 00:05Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa imekuwa vigumu kufikisha hata msaada mdogo kwa raia wa Palestina huko Ukanda wa Gaza.