Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Iran yamweleza Guterres: UN ichukue msimamo thabiti kuhusu njama ya Trump dhidi ya Palestina

    Iran yamweleza Guterres: UN ichukue msimamo thabiti kuhusu njama ya Trump dhidi ya Palestina

    Feb 10, 2025 23:15

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi amesema Umoja wa Mataifa, hasa Baraza lake la Usalama, lazima uchukue msimamo "imara na wa wazi" dhidi ya mpango wa Marekani na Israel unaolenga kuwaondoa kwa nguvu Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza.

  • WHO yajibu tuhuma za US: Hatuegemei upande wa nchi yoyote mwanachama, tunazingatia sayansi

    WHO yajibu tuhuma za US: Hatuegemei upande wa nchi yoyote mwanachama, tunazingatia sayansi

    Feb 04, 2025 07:02

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesisitiza kuwa shirika hilo haliegemei upande wa nchi yoyote mwanachama na kwamba limeanzishwa kwa ajili ya kuhudumia nchi zote na watu wote.

  • Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kutiwa mbaroni Benjamin Netanyahu

    Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kutiwa mbaroni Benjamin Netanyahu

    Jan 14, 2025 06:58

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Francesca Albanese ametoa wito wa kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo atazuru Poland, na kusema kuwa Warsaw lazima ifuate kanuni za haki za kimataifa.

  • Ripota Maalumu wa UN: Poland inapaswa kumkamata Netanyahu

    Ripota Maalumu wa UN: Poland inapaswa kumkamata Netanyahu

    Jan 11, 2025 03:12

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Francesca Albanese ametoa wito wa kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo atazuru Poland, na kusema kuwa Warsaw lazima ifuate kanuni za haki za kimataifa.

  • UN yatiwa wasiwasi na hali ya kiafya na kimatibabu ya Ukanda wa Gaza

    UN yatiwa wasiwasi na hali ya kiafya na kimatibabu ya Ukanda wa Gaza

    Jan 03, 2025 08:34

    Wataalamu hao wa Umoja wa Mataifa wataka kukomeshwa upuuaji wa waziwazi' haki ya haki ya kiafya huko Gaza baada ya utawala wa Kizayuni wiki iliyopita kuishambulia Hospitali ya Kamal Adwan katika eneo hilo na kumtia nguvuni kihilela na kumuweka kizuizini Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dakta Hussam Abu Safiya.

  • Katika salamu za mwaka mpya, Katibu Mkuu wa UN asema: Tunaweza kuifanya 2025 kuwa mwanzo mpya

    Katika salamu za mwaka mpya, Katibu Mkuu wa UN asema: Tunaweza kuifanya 2025 kuwa mwanzo mpya

    Dec 31, 2024 00:07

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, ilikuwa vigumu sana kupata matumaini mwaka 2024, lakini akaongeza kuwa, tunaweza kuugeuza mwaka 2025 kuwa mwanzo mpya si wa ulimwengu usio na usawa na uliogawanyika, lakini ulimwengu ambao ndani yake mataifa yameungana pamoja.

  • Afghanistan: Pakistan imefanya mashambulio ya anga, yameua na kujeruhi raia wengi wakiwemo watoto

    Afghanistan: Pakistan imefanya mashambulio ya anga, yameua na kujeruhi raia wengi wakiwemo watoto

    Dec 25, 2024 03:23

    Afghanistan imetangaza kuwa jeshi la Pakistan limefanya mashambulizi ya anga katika jimbo la Paktika mashariki, na kuua na kuwajeruhi raia kadhaa, "wengi wao wakiwa wakimbizi kutoka Waziristan."

  • Afisa wa UN: Ni vigumu kupeleka misaada Gaza

    Afisa wa UN: Ni vigumu kupeleka misaada Gaza

    Dec 25, 2024 00:05

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa imekuwa vigumu kufikisha hata msaada mdogo kwa raia wa Palestina huko Ukanda wa Gaza.

  • Mkutano wa UN kuhusu kuenea majangwa duniani umeanza Riyadh, Saudi Arabia

    Mkutano wa UN kuhusu kuenea majangwa duniani umeanza Riyadh, Saudi Arabia

    Dec 03, 2024 08:51

    Wazungumzaji katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na kuenea majangwa duniani COP16 unaoendelea nchini Saudi Arabia wametahadharisha kuwa hatua zinapasa kuchukuliwa ili kulinda uhai duniani.

  • Libya yataka kufutwa uanachama wa utawala wa Israel katika Umoja wa Mataifa

    Libya yataka kufutwa uanachama wa utawala wa Israel katika Umoja wa Mataifa

    Dec 03, 2024 08:45

    Libya imetaka kufutwa uanachama wa utawala wa Kizayuni katika Umoja wa Mataifa na kuhuishwa sura ya saba ya Hati ya Baraza la Usalama dhidi ya utawala huo unaotekeleza mauaji ya kimbari.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS