-
UN: Baadhi ya watu nchini Libya wamepoteza wanafamilia 50 au zaidi
Sep 16, 2023 07:29Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la misaada ya kibinadamu na masuala ya dharura OCHA, Martin Griffiths amesema, umoja huo unaendelea kuhamasisha juhudi za utoaji misaada kwa nchi za Libya na Morocco kufuatia majanga mawili makubwa tofauti yaliyozikumba nchi hizo sambamba na machungu na maumivu makubwa yaliyozipata familia zilizofiwa na kupoteza wapendwa wao katika majanga hayo.
-
China: Haiwezekani Taiwan kupewa uanachama wa UN
Sep 16, 2023 01:13Mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amesema jitihada za maajinabi zinazoendelea za eti kutafuta uhuru wa Taiwan zitafeli.
-
Kuendelea mgogoro wa Sudan; kujiuzulu mwakilishi wa Umoja wa Mataifa
Sep 15, 2023 02:23Vita nchini Sudan vingali vinaendelea na pande mbili zimeendelea kung'ang'ania misimamo yao hali ambayo imezifanya juhudi za kuhitimisha vita hivyo kutozaa matunda.
-
UN: Dola bilioni 360 zinahitajika kila mwaka ili kufikia usawa wa kijinsia 2030
Sep 08, 2023 22:57Takwimu mpya zilizokusanywa na mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa zimeonyesha kuwa kuna haja ya uwekezaji wa ziada wa dola bilioni 360 kwa mwaka ili kufikia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake ifikapo mwaka 2030.
-
UN: Watu milioni 1.8 kuikimbia Sudan kufikia mwishoni mwa 2023
Sep 05, 2023 07:24Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) linakadiria kuwa zaidi ya watu milioni 1.8 watakuwa wameikimbia Sudan kutokana na mapigano ya silaha ya kuwania madaraka nchini humo, ambayo yamekuwa yakiendelea tangu Aprili 15 kati ya vikosi vya jeshi na vya Msaada wa Haraka RSF.
-
Taliban yaadhimisha mwaka wa pili wa kurudi madarakani Afghanistan huku ikiandamwa na lawama za UN
Aug 15, 2023 23:18Kundi la Taliban la Afghanistan limeadhimisha mwaka wa pili wa kurejea madarakani kwa kuutangaza mnasaba huo kuwa siku rasmi ya mapumziko ikiwa ni kusherehekea kutekwa kwa mji mkuu Kabul na kuanzishwa kile kilichotajwa kuwa ni hali kamili ya usalama kote nchini chini ya uongozi wa "Mfumo wa Kiislamu".
-
UN, ECOWAS zapinga kushtakiwa rais aliyepinduliwa wa Niger
Aug 15, 2023 04:02Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) zimeeleza kutiwa wasiwasi na tangazo la jeshi la Niger kuwa litamfungulia mashtaka rais aliyeondolewa madarakani, Mohamed Bazoum kwa tuhuma za kufanya uhaini mkubwa.
-
UN yalaani shambulizi la kigaidi mjini Shiraz, kusini mwa Iran
Aug 15, 2023 00:00Stéphane Dujarric, Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani shambulio la kigaidi katika haram ya Sayyid Ahmad Bin Musa (as) maarufu kama Shah Cheragh katika mji wa Shiraz mkoani Fars, kusini mwa Iran.
-
Wahanga wa mauaji ya kimbari Rwanda wakosoa mwito wa mahakama ya UN
Aug 09, 2023 08:04Waathirika, wahanga na manusura wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 wamekosoa vikali mwito uliotolewa na majaji wa rufaa ya mahakama ya Umoja wa Mataifa wa kutaka kesi ya uhalifu wa kivita inayomkabili mshukiwa wa mauaji hayo ya kimbari, Felicien Kabuga isitishwe kwa muda usiojulikana.
-
UN yalaani mapinduzi ya kijeshi Niger; wananchi waandamana
Jul 27, 2023 07:23Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa taarifa akilaani vikali mapinduzi ya kijeshi yaliyomuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum wa Niger.