-
Bunge la Malaysia: Israel ifukuzwe katika Umoja wa Mataifa na asasi zake
Jul 17, 2020 22:02Wawakilishi wa Bunge la Malaysia wametoa wito wa kufukuzwa utawala haramu wa Israel katika Umoja wa Mataifa.
-
UN yakosoa athari mbaya za misimamo hasi ya Trump kwa uhuru wa vyombo vya habari
Jul 15, 2020 01:48Tangu alipochukua hatamu za kuiongoza Marekani tarehe 20 Januari mwaka 2017, Rais Donald Trump amekua akielekeza panga lake kali kwenye vyombo vya habari vinavyokosoa utendaji na mienendo yake.
-
Umoja wa Mataifa walaani hujuma dhidi ya askari wake CAR
Jul 14, 2020 22:08Umoja wa Mataifa umelaani vikali hujuma iliyofanywa dhidi ya askari wake wa kulinda amani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ambayo imepelekea kuuawa askari mmoja wa kulinda amani raia wa Rwanda na wengine wawili kujeruhiwa.
-
IOM: Wahajiri 2,300 wanazuiliwa katika mazingira ya kuogofya Libya
Jul 14, 2020 03:33Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limesema maelfu ya wahajiri wanazuiliwa katika mazingira ya kutisha huko nchini Libya.
-
Mrengo wa al-Fat'h Iraq: Serikali iharakishe mashtaka dhidi ya Marekani UN kwa mauaji ya Al-Muhandis
Jul 12, 2020 23:37Muungano wa al-Fat'h katika Bunge la Iraq umeitaka serikali iharakishe mchakato wa kuwasilisha rasmi mashtaka Umoja wa Mataifa ya jinai iliyofanywa na Marekani ya kumuua kigaidi Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa al-Hashdu-Sha'abi.
-
WFP: Wayemen milioni 10 wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula
Jul 11, 2020 06:34Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema wananchi milioni 10 wa Yemen wanaandamwa na ubaha mkubwa wa chakula.
-
Ansarullah yapinga mapendekezo ya mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen
Jul 10, 2020 20:12Harakati ya Ansarullah ya Yemen imepinga mpango uliopendekezwa na Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya nchi hiyo, Martin Griffiths kuhusu mgogoro wa Yemen ikisema unapendelea muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
UN yataka kuachiwa huru wanaharakati wanawake walioko jela Saudi Arabia
Jul 09, 2020 22:37Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limezitaka nchi nyingine duniani kuiwekea Saudi Arabia mashinikizo ili kuwaachia huru wanaharakati wa kijamii wanawake waliofungwa jela nchini humo.
-
Guterres: Uingiliaji wa kigeni wa hivi sasa Libya haujawahi kushuhudiwa
Jul 09, 2020 10:55Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema uingiliaji wa madola ya kigeni katika mgogoro wa Libya unaoshuhudiwa hivi sasa upo katika kiwango ambacho hakijawahi kuonekana tena huko nyuma.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kukiuka sheria mauaji dhidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani
Jul 08, 2020 02:02Mnamo Januari 3 mwaka huu, jeshi la kigaidi la Marekani kwa amri ya Rais wa nchi hiyo Donald Trump lilitenda jinai kwa kumuua kidhulma Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran akiwa uraiani nchini Iraq tena akiwa mgeni rasmi wa serikali ya Baghdad.