-
UN yakosoa hatua ya Ufaransa ya kupiga marufuku burqa
Oct 23, 2018 10:03Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeijia juu serikali ya Ufaransa kwa kupiga marufuku vazi la stara la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.
-
Syria yaitaka UN ichunguze jinai za kivita za US eneo la Dayr al-Zawr
Oct 21, 2018 19:48Serikali ya Syria imeuandikia barua Umoja wa Mataifa ikiutaka ufanye uchunguzi wa wazi na usiogemea upande wowote juu ya mashambulizi ya anga ya hivi karibuni ya muungano wa kijeshi wa Marekani dhidi ya wakazi wa mkoa wa Dayr al-Zawr, mashariki mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Dunia yatoa radiamali baada ya Saudia kukiri kumuua Jamal Khashoggi
Oct 20, 2018 04:34Saa chache baada ya Saudi Arabia kukiri kuwa Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji wa Aal-Saud ameuawa katika ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul nchini Uturuki, taasisi na viongozi mbalimbali wa kimataifa wametoa taarifa za kulaani mauaji hayo ya kikatili.
-
UN yataka kuondolewa kinga ya kutoshtakiwa wanadiplomasia wa Saudia wanaohusishwa na kadhia ya Khashoggi
Oct 16, 2018 10:40Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametaka kuondolewa kinga ya kutoshtakiwa wanadiplomasia wa Saudi Arabia ambao inawezekana wamehusika na kutoweka nchini Uturuki, Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari raia wa Saudia.
-
UN: Raia 8,000 wa Afghanistan wameuawa, kujeruhiwa 2018
Oct 10, 2018 22:58Ripoti mpya ya Ujumbe wa Usaidizi wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan (UNAMA) imesema raia zaidi ya elfu nane wa Kiafghani wameuawa na kujeruhiwa katika kipindi cha miezi tisa ya kwanza ya mwaka huu 2018.
-
Hofu ya UN juu ya kufukuzwa India wakimbizi wa Rohingya
Oct 06, 2018 00:18Umoja wa Mataifa umeonesha kutiwa wasiwasi mkubwa na hatua ya India ya kuwafukuza wakimbizi Waislamu wa Rohingya na kuwarejesha nchini Myanmar.
-
Dukuduku la viongozi wa Afrika kuhusu kudhulumiwa bara hilo katika Umoja wa Mataifa
Oct 01, 2018 02:10Viongozi wengi wa Afrika wamelalamikia vikali utendaji na misimamo ya Umoja wa Mataifa kuhusu masuala na matatizo ya bara hilo na kulalamikia idadi ndogo ya wawakilishi wa Afrika wanaopewa nafasi kama wajumbe katika mashirika ya umoja huo.
-
Somalia yaitaka UN iiondolee vikwazo vya silaha
Sep 30, 2018 10:35Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Somalia ameutaka Umoja wa Mataifa kuondoa vikwazo vya muda mrefu vya silaha dhidi ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Algeria: Afrika imedhulumika katika Umoja wa Mataifa
Sep 30, 2018 04:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema, Afrika imedhulumika katika Umoja wa Mataifa na kwenye Baraza la Usalama la umoja huo na kwa hivyo dhulma hiyo inapasa iondolewe.
-
Sudan Kusini yaiambia UN kuwa makubaliano ya amani hayatakiukwa
Sep 29, 2018 04:46Makamu wa Rais wa Sudan Kusini ameuambia mkutano wa 73 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba makubaliano ya amani ya mara hii yaliyofikiwa hivi karibuni na mahasimu wa kisiasa wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika yatadumu na wana wingi wa matumaini kwamba hayatakiukwa.