-
UN yashtushwa na ukiukwaji wa haki za binadamu Imarati
Jan 10, 2018 12:32Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kutokana na kushtadi uvunjwaji wa haki za binadamu katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
-
UN yataka kufanyika uchunguzi kuhusu ghasia za karibuni nchini Kongo
Jan 10, 2018 04:08Umoja wa Mataifa umetaka kufanyika uchunguzi kuhusu ghasia zilizoikumba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwezi Disemba mwaka jana.
-
UN yalaani hatua ya Israel ya kuwafukuza wahajiri wa Kiafrika
Jan 10, 2018 01:06Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel kufuta mpango ulioanza kuutekeleza hivi karibuni wa kuwarejesha nchini kwao kwa nguvu makumi ya maelfu ya Waafrika walioingia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo haramu.
-
UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya Yemen, yataka mashambulizi ya Saudia yasitishwe
Jan 07, 2018 09:39Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu ameeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya watu wa Yemen.
-
Ansarullah: Mtazamo wa UN kuhusu Yemen ndio uliofelisha jitihada za kutafuta suluhu
Jan 06, 2018 23:13Mjumbe mwandamizi wa Baraza la Kisiasa la harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema, jitihada za kutafuta suluhu na kurejesha amani nchini humo hazitakuwa na faida yoyote ikiwa Umoja wa Mataifa hautabadilisha muelekeo wake wa kuushughulikia mgogoro wa nchi hiyo.
-
UN kuchunguza mauaji ya askari 15 wa Tanzania nchini Kongo DR
Jan 06, 2018 03:50Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema taasisi hiyo ya kimataifa itachunguza mauaji ya wanajeshi 15 wa kulinda amani raia wa Tanzania waliouawa mapema mwezi uliopita katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kuongezeka gharama za kijeshi ulimwenguni na kukinzana kwake na Malengo ya Milenia
Jan 04, 2018 23:00Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imesema katika ripoti yake kwamba, gharama za kijeshi ulimwenguni ziliongezeka kwa asilimia 46 katika kipindi cha miaka kumi kuanzia 2005 hadi 2015.
-
UN yaitaka Saudia iache kuwakandamiza watetezi wa haki za binadamu
Jan 03, 2018 00:31Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wameitaka Saudi Arabia ikomeshe ukandamizaji wa watetezi wa haki za binadamu nchini humo.
-
Kushtadi mauaji ya Saudi Arabia ikishirikiana na Marekani dhidi ya wananchi wa Yemen
Dec 30, 2017 04:39Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen amekosoa vikali kuendelea kuuawa kiholela raia katika nchi hiyo, mauaji ambayo yamekuwa yakifanywa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Mwanamke Mualgeria ateuliwa kuwa mkuu wa kikosi cha MONUSCO DRC
Dec 28, 2017 12:56Bi Leila Zerrougui raia wa Algeria ameteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuwa, mkuu wa kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO.