Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Hali ya kifedha ya UN ni mbaya, maafisa 131 kufutwa kazi

    Hali ya kifedha ya UN ni mbaya, maafisa 131 kufutwa kazi

    Dec 27, 2017 23:12

    Msemaji wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa amesema kuwa hali ya kifedha ya umoja huo ni mbaya hivyo kuna mpango wa kuwafuta kazi maafisa wake 131 kama njia ya kubana matumizi.

  • Velayati: Palestina ni kadhia nambari moja ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Velayati: Palestina ni kadhia nambari moja ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Dec 26, 2017 11:53

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa ameeleza kuwa Palestina inaendelea kuwa suala la kwanza linalouhusu Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Baraza Kuu la UN lalaani mauaji ya Mabudha dhidi ya Waislamu Myanmar

    Baraza Kuu la UN lalaani mauaji ya Mabudha dhidi ya Waislamu Myanmar

    Dec 24, 2017 23:53

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio kwa wingi wa kura likilaani jinai na mauaji yanayoendelea kufanywa na Mabudha wa Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.

  • Gazeti la Israel la Haaretz: Kushindwa kwa Trump UN ni 'zawadi kwa Iran'

    Gazeti la Israel la Haaretz: Kushindwa kwa Trump UN ni 'zawadi kwa Iran'

    Dec 24, 2017 13:11

    Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa kushindwa Rais Donald Trump wa Marekani kupata uungaji mkono katika Umoja wa Mataifa kuhusiana na uamuzi wake wa kuitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel ni sawa na 'kuipatia zawadi' Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Zarif: Trump anadunisha demokrasia kwa kutishia wapinzani wake

    Zarif: Trump anadunisha demokrasia kwa kutishia wapinzani wake

    Dec 21, 2017 00:12

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekosoa vikali msimamo wa Marekani wa kupinga maamuzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Quds tukufu na kusema kuwa: Washington imebakia katika kiwango cha "ama uwe pamoja na sisi au dhidi yetu."

  • UN: Hujuma za anga za Saudia zimeua 136 Yemen ndani ya siku 11

    UN: Hujuma za anga za Saudia zimeua 136 Yemen ndani ya siku 11

    Dec 19, 2017 23:05

    Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa (OHCHR) imesema mashambulizi ya anga yanayofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya Yemen yamesababisha vifo vya raia wasiopungua 136 katika muda wa siku 11.

  • Upinzani wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa ripoti iliyo dhidi ya Iran

    Upinzani wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa ripoti iliyo dhidi ya Iran

    Dec 18, 2017 23:18

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameipinga ripoti iliyo dhidi ya Iran iliyosambazwa na vyombo vya habari vya Marekani vinavyodai kuwa eti Iran imejaribu kununua kinyume cha sheria vipande vya makombora vinavyoweza kutumika kijeshi au katika masuala ya nyuklia kutoka kwa Ujerumani.

  • UN: Huenda Suu Kyi akafunguliwa mashitaka ya mauaji ya kimbari

    UN: Huenda Suu Kyi akafunguliwa mashitaka ya mauaji ya kimbari

    Dec 18, 2017 04:04

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema uhalifu unaofanywa na wanajeshi wakishirikiana na Mabudha nchini Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya ni mauaji ya kimbari na yumkini wanaohusika wakiwemo viongozi wa nchi hiyo wakapandishwa kizimbani karibuni hivi.

  • Msafara wa maafisa wa UN Nigeria washambuliwa, 4 wauawa

    Msafara wa maafisa wa UN Nigeria washambuliwa, 4 wauawa

    Dec 18, 2017 04:02

    Maafisa wanne wa Mpango wa Chakula wa Umoja wa Mataifa WFP wameuawa baada ya msafara wao kuviziwa na kushambuliwa kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Baraza la Usalama kupigia kura muswada wa kulaani uamuzi wa Trump

    Baraza la Usalama kupigia kura muswada wa kulaani uamuzi wa Trump

    Dec 18, 2017 01:13

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litachunguza muswada unaopinga uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kutambua rasmi Quds kuwa ni mji mkuu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS