-
Iran kuendelea kupunguza uwajibikaji wake kwa JCPOA
Oct 06, 2019 04:34Msemaji wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran (AEOI) amesema kuwa, awamu ya nne ya kupunguza Iran kutekeleza ahadi zake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA itaanza kutekelezwa mwezi ujao kama ilivyopangwa na kwamba kwa sasa hakuna kituo chochote kilichobadilika.
-
Umoja wa Ulaya wataka faili la mauaji ya Khashoggi lifuatiliwe
Oct 03, 2019 00:45Umoja wa Ulaya umetoa taarifa ukisisitiza udharura na umuhimu wa kufuatiliwa faili la mauaji ya mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi.
-
Nchi nyingine 8 za Ulaya zajiunga na mfumo wa INSTEX
Oct 01, 2019 04:29Afisa msaidizi wa Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema nchi 8 zaidi za Ulaya zimejiunga rasmi na mfumo maalumu wa mabadilishano ya fedha kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya (INSTEX).
-
Papa azikosoa nchi zinazouza silaha na kuwafukuza wakimbizi
Sep 30, 2019 04:15Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema mashindano ya kuuza silaha yanayofanywa na nchi fulani duniani ndiyo sababu ya ghasia na mauaji ya watu wakiwemo watoto wadogo katika nchi zinazoshuhudia vita katika kona mbalimbali duniani.
-
Nchi za Ulaya zatishia kujiondoa kwenye makubaliano ya JCPOA
Sep 28, 2019 08:06Nchi za Ulaya zimetishia kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA iwapo Iran eti haitafungamana kikamilifu na mapatano hayo.
-
Nchi za EU zatiwa wasiwasi na ukiukaji wa haki za binadamu Saudia
Sep 24, 2019 04:34Nchi 15 wanachama wa Umoja wa Ulaya zimeeleza wasiwasi mkubwa zilionao kutokana na rekodi mbaya ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia.
-
Zarif na Mogherini wajadili njia za kuinusuru JCPOA
Sep 24, 2019 04:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javaad Zarif amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Federica Mogherini na wawili hao wamejadili njia za kulinda na kudumisha makubaliano ya JCPOA.
-
Salehi: JCPOA sio mkataba wa upande mmoja, EU imefeli
Sep 08, 2019 07:43Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran (AEOI) amesema kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA sio mapatano ya upande mmoja, na kwamba nchi za Ulaya zimefeli kutekeleza wajibu wao wa kuyalinda mapatano hayo ya kimataifa.
-
Kushindwa tena Johnson katika bunge la Uingereza na mustkabali usiojulikana wa Brexit
Sep 06, 2019 07:47Suala la kujitoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya, Brexit, sasa limebadilika na kuwa maudhui muhimu zaidi katika siasa za ndani na nje za nchi hiyo.
-
Kushadidi makabiliano baina ya Boris Johnson na wapinzani wake kuhusiana na Brexit
Sep 03, 2019 22:08Kujitoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya (Brexit) limegeuka na kuwa suala muhimu hivi sasa katika siasa za ndani na za nje za London.