Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Msimamo wa viongozi wa EU dhidi ya Russia; kufuata mdundo wa ngoma inayopigwa na Uingereza

    Msimamo wa viongozi wa EU dhidi ya Russia; kufuata mdundo wa ngoma inayopigwa na Uingereza

    Mar 24, 2018 02:43

    Viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya wameamua katika kikao chao walichofanya kwenye makao makuu ya umoja huo yaliyoko mjini Brussels kuchukua msimamo mmoja wa kuiunga mkono Uingereza dhidi ya Russia.

  • Iran haifanyi mazungumzo tena kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Iran haifanyi mazungumzo tena kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Mar 16, 2018 03:20

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa katu haitakubali kufanyika mazungumzo mapya kuhusu mapatano ya nyuklia baina yake na mdola sita makubwa duniani.

  • Mbunge wa UK: EU imefanya duru 14 za mazungumzo ya siri na Korea Kaskazini

    Mbunge wa UK: EU imefanya duru 14 za mazungumzo ya siri na Korea Kaskazini

    Mar 15, 2018 03:16

    Mbunge wa chama cha Wahafidhina cha Uingereza katika bunge la Umoja wa Ulaya amesema mazungumzo ya siri yaliyofanywa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita na ujumbe wa wabunge wa bunge la EU na maafisa wa Korea Kaskazini ndiyo yaliyoifanya nchi hiyo ishawishike kuachana na shughuli zake za nyuklia.

  • Iran: Hatufanyi mazungumzo na EU kuhusu kuimarika ushawishi wetu M/Kati

    Iran: Hatufanyi mazungumzo na EU kuhusu kuimarika ushawishi wetu M/Kati

    Mar 04, 2018 00:02

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekadhibisha ripoti zilizodai kuwa Tehran na nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya EU zimeanza kufanya mazungumzo kuhusu nafasi ya taifa hili katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • EU: Vitongoji vyote vya walowezi wa Kiyahudi ni haramu

    EU: Vitongoji vyote vya walowezi wa Kiyahudi ni haramu

    Feb 27, 2018 10:44

    Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema vitongoji vyote vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni haramu na vizingiti vya kupatikana amani Mashariki ya Kati.

  • Ahadi za misaada ya Ulaya kwa bara la Afrika

    Ahadi za misaada ya Ulaya kwa bara la Afrika

    Feb 24, 2018 08:51

    Mkutano wa Kimataifa wa kulisaidia eneo la Sahel barani Afrika umefanyika huko Brussels mji mkuu wa Ubelgiji ukihudhuriwa na wakuu wa zaidi ya nchi 30 za Ulaya na Kiafrika kwa kusomwa ujumbe wa Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

  • EU, HRW na Amnesty zaitaka Bahrain imuachie huru mwanaharakati aliyeikosoa Saudia

    EU, HRW na Amnesty zaitaka Bahrain imuachie huru mwanaharakati aliyeikosoa Saudia

    Feb 23, 2018 04:05

    Umoja wa Ulaya umeitaka serikali ya Bahrain imuachie huru Nabeel Rajab, mwanaharakati mashuhuri wa masuala ya haki za binadamu nchini humo, ambaye siku ya Jumatano alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kile kilichoelezwa kwamba, ni kupatikana na hatia ya uchochezi na kutoa jumbe za kukosoa utawala wa nchi hiyo na utawala wa Aal-Saud nchini Saudi Arabia.

  • Hofu ya kumiminika magaidi Ulaya yaishajiisha EU izidi kuisaidia kifedha Afrika kupambana na ugaidi

    Hofu ya kumiminika magaidi Ulaya yaishajiisha EU izidi kuisaidia kifedha Afrika kupambana na ugaidi

    Feb 22, 2018 10:56

    Umoja wa Ulaya (EU) umetangaza kuwa utazidisha kiwango cha ushiriki wake kifedha katika kupambana na ugaidi kwenye eneo la Sahel barani Afrika kutokana na hofu ya kurejea magaidi barani Ulaya.

  • Israel yabomoa shule za EU huko Palestina inyaokaliwa kwa mabavu

    Israel yabomoa shule za EU huko Palestina inyaokaliwa kwa mabavu

    Feb 09, 2018 11:00

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, Wapalestina na Mabedui wanaoishi katika kitongoji cha Area C katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina wapo katika hatari ya kufurushwa kwenye makazi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • IAEA na EU zatetea tena makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    IAEA na EU zatetea tena makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Feb 09, 2018 00:00

    Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na Umoja wa Ulaya (EU) zimetetea tena makubaliano ya nyuklia ya JCPOA baina ya Iran na nchi za kundi la 5+1.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS