-
Kwa nini Marekani imejiondoa rasmi UNESCO?
Jul 23, 2025 08:58Marekani ilitangaza Jumanne, Julai 22, kwamba imejiondoa rasmi katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO.
-
Uingereza yadokeza kuwa itachukua hatua zaidi dhidi ya Israel kutokana na hali ya 'kikatili' ya Ghaza
Jul 23, 2025 06:11Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza David Lammy ameonya kuwa ikiwa usitishaji vita katika Ukanda wa Ghaza hautafikiwa hivi karibuni, zinaweza kuchukuliwa hatua zaidi dhidi ya Israel.
-
Jumamosi 03 Mei, 2025
May 03, 2025 02:15Leo ni Jumamosi 5 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1446 Hijria mwafaka na 3 Mei 2025 Miladia
-
UNESCO yaziweka 'Caravanserai' za kihistoria za Iran kwenye orodha yake ya turathi za dunia
Sep 19, 2023 13:17Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeongeza Caravanserai' 54 za kihistoria za Iran katika orodha yake ya maeneo ya turathi za dunia.
-
Saudi Arabia yainyima Israel kibali cha kuhudhuria mkutano wa UNESCO
Jul 01, 2023 06:54Shirika la habari la Sputnik la Russia limetangaza kuwa, Saudi Arabia imekataa kuwaruhusu wawakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Isarel kuhudhuria mikutano ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambayo imepangwa kufanyika mjini Riyadh mwezi Septemba mwaka huu.
-
Kumbukumbu ya Siku ya Kuanzishwa Harakati ya Kupambana na Ujinga nchini Iran
Dec 31, 2022 13:20Moja kati ya haki za msingi za binadamu katika jamii yoyote ile ni kujua kusoma na kuandika.
-
UNESCO: Hujuma na jinai za utawala wa Kizayuni Baitul Muqaddas ni batili
Oct 14, 2021 13:02Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limesema, Baitul Muqaddas (Jerusalem) ni mji unaokaliwa kwa mabavu; na hujuma na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ndani ya mji huo ni batili.
-
Watoto wa Kiafghani zaidi ya milioni nne hawaendi shule
Sep 19, 2021 06:47Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umeripoti kuwa watoto wa Kiafghani zaidi ya milioni nne hawajajiandikisha kuanza shule mwaka huu nchini humo.
-
Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama
Feb 24, 2021 08:46Tarehe 21 mwezi huu wa Februari ilisadifiana na Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama. Lugha, wapenzi wasikilizaji, ni kitu muhimu sana katika maisha ya kiumbe mwanadamu.
-
Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama
Feb 21, 2020 10:06Tarehe 21 Februari inasadifiana na Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama.