Pars Today
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limetangaza kuwa, mamilioni ya wasichana na wavulana hukumbana na unyanyasaji na uonevu wanapokuwa mashuleni katika maeneo mbalimbali ya dunia.
Eneo la Baitul Muqaddas (Jerusalem) na Haram tukufu ya Msikiti wa al Aqsa limekuwa likizusha hitilafu na migogoro kwa miaka mingi.
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) llimetangaza kuwa mwandishi habari mmoja duniani hupoteza maisha katika kila siku nne na nusu.
Shirika la Sayansi, Elimu na Utamaduni la Umoja wa Mataifa limewasilisha azimio jipya linalolaani hatua ya Israel ya kuharibu athari za kale katika maeneo matukufu ya Palestina.
Tarehe 17 Oktoba ambayo mwaka huu imesadifiana na siku ya Jumatatu, huadhimishwa kila mwaka kwa jina la Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Umaskini.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limethibitisha tena kwamba msikiti mtukufu wa Al-Aqsa, kibla cha kwanza cha Waislamu ni milki ya Wapalestina.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekaribisha hatua ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) ya kuthibitisha haki ya wananchi wa Palestina kuhusiana na ardhi na matukufu yao.
Jeshi la Syria hivi karibuni liliukomboa mji wa kale wa Palmyra au Tadmur kutoka kwa kundi la magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh. Makala yetu ya leo itaangazia kwa kifupi kuhusu mji huo muhimu na wa kihistoria nchini Syria