-
UNICEF yataka walimu wapewe kipaumbele katika chanjo ya COVID-19
Dec 16, 2020 03:02Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limetaka walimu wapewe kipaumbele katika chanjo ya COVID-19 au corona.
-
UNICEF yazitaka nchi za mashariki na kusini mwa Afrika zifungue shule
Sep 23, 2020 01:35Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umezitaka serikali za nchi za mashariki na kusini mwa Afrika kufungua shule haraka iwezekanavyo sambamba na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanakuwa salama wanaporejea shuleni.
-
UNICEF yatahadharisha kuhusu lishe mbaya ya watoto katika kipindi cha corona
Jul 28, 2020 07:25Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuhusu athari mbaya za maambukizi ya virusi vya corona kwa watoto ikiwa ni pamoja na umaskini na ukosefu wa usalama wa chakula.
-
Unicef: Idadi ya watoto wanaosumbuliwa na utapiamlo imeongeza sana Yemen
Jun 26, 2020 07:15Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limetangaza kuwa, idadi ya watoto wanaosumbuliwa na utapiamlo imeongezeka kwa kiwango kikubwa nchini Yemen.
-
Unicef: Mamilioni ya watoto Asia magharibi watasumbuliwa na umaskini kwa sababu ya corona
Apr 22, 2020 01:37Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetahadhasriha kuhusu uwezekano wa mamilioni ya watoto katika eneo la Asia magharibi kusumbuliwa na umaskini kutokana na janga la kiuchumi litakalosababishwa na maambukizi ya virusi vya corona.
-
UNICEF: Vita nchini Libya vimekuwa na taathira mbaya mno hasa kwa watoto
Mar 05, 2020 08:18Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watu wasiopungua 1,800,000 wameathirika vibaya na vita vya ndani nchini humo ambapo 266,000 kati yao ni watoto wadogo.
-
Jumatano tarehe 11 Disemba 2019
Dec 11, 2019 03:12Leo ni Jumatano tarehe 14 Rabiuthani 1441 Hijria sawa na 11 Disemba 2019.
-
Unicef: Mamilioni ya watoto wanasumbuliwa na utapiamlo
Oct 17, 2019 01:40Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa mamilioni ya watoto duniani wanasumbuliwa na utapiamlo.
-
UNICEF: Watoto milioni moja wanakabiliwa na hatari ya kifo nchini Msumbiji
Sep 18, 2019 07:50Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watoto milioni moja nchini Msumbiji wanakabiliwa na hatari ya kifo baada ya nchi hiyo kukumbwa na kimbunga.
-
UNICEF: Maisha ya watoto 500,000 wa Kilibya yapo hatarini
Apr 10, 2019 04:36Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetangaza kuwa, maisha ya watoto 500,000 nchini Libya yapo hatarini kutokana na kuibuka mapigano mapya katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.