-
Unicef: Mwaka 2018 umeshuhudia mauaji ya idadi kubwa zaidi ya watoto wa Syria
Mar 12, 2019 16:15Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, mwaka 2018 ndio uliokuwa na mauaji ya idadi kubwa zaidi ya watoto nchini Syria.
-
Tahadharisho la UNICEF kuhusu mauaji mapya ya watoto nchini Yemen
Feb 01, 2019 02:48Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto ulisema siku ya Jumatano kwamba, watoto elfu sita na 700 wa Yemen wameshauawa tangu Saudi Arabia na kundi lake walipoanzisha mashambulizi ya kila upande nchini humo.
-
UNICEF: Zaidi ya watoto 6,000 wa Kiyemen wameuawa au kujeruhiwa katika vita vya Saudi Arabia dhidi ya Yemen
Jan 31, 2019 07:48Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watoto 6,700 wa Kiyemen wameuawa au kujeruhiwa tangu Saudi Arabia ilipoanzisha hujuma yake ya kijeshi dhidi ya nchi masikini ya Yemen.
-
UNICEF: Watoto Milioni 41 duniani wanahitaji msaada wa dola bilioni 3.9
Jan 30, 2019 01:09Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema linahitaji msaada wa dola bilioni 3.9 ili kuwasaidia watoto milioni 41 walio katika maeneo ya majanga kote duniani.
-
Unicef yataja nchi zenye ukosefu mkubwa wa amani kwa watoto
Jan 06, 2019 14:38Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetangaza katika ripoti yake kuwa mustakbali wa mamilioni ya watoto wanaoishi katika nchi zilizokumbwa na vita uko hatarini.
-
Siku ya kwanza ya mwaka 2019 yakaribisha watoto laki nne duniani
Jan 01, 2019 15:17Taarifa iliyotolewa na Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa, (UNICEF) imesema kuwa watoto laki tatu na 95 elfu wanatarajiwa kuzaliwa leo katika siku ya kwanza ya mwaka mpya wa 2019.
-
Nigeria yaitimua UNICEF kwa tuhuma za kuwapa mafunzo majasusi wa Boko Haram
Dec 15, 2018 07:01Jeshi la Nigeria limesimamisha shughuli za Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (UNICEF) katika eneo la kaskazini mashariki kwa nchi, kwa tuhuma kuwa maafisa wake wanawapa mafunzo na kushirikiana na majasusi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Hraram.
-
Hatima isiyojulikana ya watoto 15,000 wahanga wa machafuko Sudan Kusini
Dec 13, 2018 15:31Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, kutokana machafuko na mapigano ya miaka mitano huko Sudan Kusini, hatima ya watoto 15,000 haijulikana kutokana na kutoweka au kukutengana na wazazi wao.
-
UNICEF: Watoto milioni nane Yemen wanakabiliwa na hali mbaya ya lishe duni
Dec 06, 2018 13:49Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kwamba, watoto zaidi ya milioni nane nchini Yemen wanataabika kutokana na hali mbaya ya lishe duni.
-
Unicef: Watoto milioni 1.5 wa CAR wanahitaji msaada wa dharura
Dec 01, 2018 02:46Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umesema thuluthi mbili ya watoto wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wapo katika hatari ya kupoteza maisha iwapo hawatafikishiwa msaada wa dharura haraka iwezekenavyo.